Shusheni essay za ki joke joke lol, wasomaji tupoooh [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ndio nini ukaniacha na kiu muone vile mjuzi lakini haraka zimekushika [emoji35][emoji35][emoji35] bahati yako uko vizuri kam vipi nitafute tena unitafune kibahati nzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dadeq....
 

huko ni kuwakosea mabaharia
 
Get a life. Cha muhimu ni ujumbe. The way the language has been used doesn't matter unless kama wewe ni English teacher wa NECTA
Bila lugha iliyokamilika hata ujumbe wenyewe hautaeleweka..jitahidi kufika kwa Ras Simba Basi unoe kilugha chako..ama huwezi andika kiswahili inatoshaa tutakuelewa.
 
Bado naendelea kufuatilia huu uzi kuna boya alinitafuna kwa kushtukiza sijui kama bado hajaandika humu halafu alikuwa vizuri sema tu alikuwa na haraka sijui hakuamini hata sielew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio Niko nawachora hapa ndo nataka kuandika [emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 

umetisha sana mkuu embu pokea like [emoji1531]
 
Wee ulisikiaa wapiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti muheshimiwaaa...wee ulisikia wapiiii
Mkali Mwenye Uzi wake rikiboy huyu jamaa vipi haelewi masihara yakoje masihara hayapo kwenye luga ya malkiaa
 
Noma sana mkuu
 
Ndio nini ukaniacha na kiu muone vile mjuzi lakini haraka zimekushika 😑😑😑 bahati yako uko vizuri kam vipi nitafute tena unitafune kibahati nzuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
daaah!, comment yako inaamsha walio lala, inabidi ulale wewe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…