Tokaaa hapa umeuzaa mechii.... Mzeee
 
Kula kwa masihara uku nako kunaponza vijana tupunguze slope
 
Covid organic, nimejaribu kufanya proof reading Hapa nimegundua kunawalakini ama ni uandishi mbovu ndugu katibu wa kamati ya harusi ulivotembea na mchumba wa rafiki yako afu baadae wakajakuoana, Sasa je ulikua katibu wakamati ipi ya harusi? Tuvae barakoa jamani humu kunavumbi sana
 
Muache tu mkuu, k zipo tu...usiuendekeze mwili.
 
Mzee umekutana na mjanja[emoji23]
 
Mkuu nilishamuacha, nasubiri amalize nimtafune.. i don't care hata kama kuna wajuba wanakula na chumvi right now ila akishapiga pepa tu lazima niue sahizi sitaki stress
Mungu akubariki kama bado kadogo, ila endelea kula kimasihara mkuu...maisha ndio haya haya
 
Kwa jinsi walipofikia dadazetu lolote linawezekana. Kuna vibinti vijanjavijanja vinaishi kwa staili hiyo wenyew wanasema kudanga ni full maigizo vinachukua hela ya Juma kesho kwa Ali ndo maisha yao.

Kuna jamaa yangu alikutana na mmoja huyo walikuwa wanaongea fresh tu hadi ulipofika muda wa kula tunda dem kajifanya ana mausingiz ya hatari hlf amelegea utafikiri anakufa sasaivi dizain km huyo.

Ila pia kuna wengine nmewahi kusikia wanakuwa na mabwana zao mashetani. Wanawafanyia hivo ili wasilale na wanaume wengine. Hii ipo sana mikoa ya mwambao.
 
Kastory katamu sanaa
 

Daaaah mzee nimechekaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahha ww si ndio unajipigiaga promo humu mpaka tumejua tabia yako kuwa mpole,ss hivi naona unaitwa baby kwa fujo humu jukwaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaaaah tyuuuh hadi baas, kumbe na weee unataka kuitwa babeeeeh, sasa si ujipige promo kivyako, usitumie mie, kaa kwa kutulia tyuuh hakuna mamnaah. Km nakuona unavoteseka poleeeeeeh[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Yaaan uliingia humu tukiamini ni mwanaume rijali lkn baada kuanza kutetea ushoga na kujipigia promo umefanikiwa kubadili mind za raia,ss hivi unaitwa baby [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mpnz wangu akkiniita baby inatosha sio raia wa humu
 
Yaaan uliingia humu tukiamini ni mwanaume rijali lkn baada kuanza kutetea ushoga na kujipigia promo umefanikiwa kubadili mind za raia,ss hivi unaitwa baby [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mpnz wangu akkiniita baby inatosha sio raia wa humu
Huoni km wee ndo unaeteseka? Maan unamfatilia mtu ambaye wala hana habari naweee, kuutetea ushoga sio kuwa ndo nahusika na hio industry, na hata km ikiwa kweli hakuna anae athirika na chochote, deal kweny vitu vya msingi kwako,

Kuwaza maisha ya mtu mwingine n kipimo kuwa huna chochote cha maan binafsi kwako. Poleeeeeh sanaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, sasa mbona wanakuita 'aunt'? Au hawa wadada wanamaanisha nini, wajua haya mambo kwa wengine ni mageni kidogo. Hem' nifahamishe manake nakuwa gizani ndugu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…