Bado tu maandazi
 
Jamaa acha kuonesha ujinga wako kwa kila mtu aone jinsi gani hujaelimika. Mimi n mswahili as long as sio swala rasmi ntatumia kiswahili kwa namna yoyote ile nnayojisikia ili mradi nnachokusudia kieleweke.
Sasa kama huko kwenye chuo chako cha ushonaji ulifundishwa kuonesha usomi basi kila mahala uandike kama unajibu insha Mimi nakwambia huo ni ushamba. Kuelimika hakupimwi hvo pimbi mmoja wewe
Andika vizuri basi, unaonekana kama hukupita chuo na kidato cha sita!!! Au ulipitia chuo cha ushonaji!!!
 
hii stor tupe vizr kwenye uzi wa mapemzi ya chuoni mzee...
Ni story ndefu sana na huyo demu mpaka sasa hatupo pamoja, kama kuna huo Uzi nipe link nikipata nafasi ntajarbu kuisimulia huko
 
Sikusifii kwa jinsi ulivyowakaza hao wanawake ila nikupongeze tu wa jambo moja toka nimeanza kusoma visa vya wadau kwenye huu uzi naona angalau wewe unakumbuka kutumia zana.
Hamu ya siku moja tu inaweza kukuharibia future nzima ya maisha yako, sijui wengine wanapata wapi unajasiri wa kufanya mapenzi bila kinga, aiseh Mungu awasaidie sana.

*Wakati fulani kuna bar moja nilikua napenda sana kwenda kuangalia mpira (Epl) ila bar acha masihara, ina wanawake wazuri wenye kila sifa (wahudumu) waliokamilika kila idara, kuanzia sura, shape, makalio makubwa ndio usiseme, kifupi walikua kama kivutio cha utalii, ile bar wazungu wengi walikua wanapenda kufika sana kifupi ilikua classic kwenye kila kitu.
Kufuatia kwenda na kushinda pale kila weekend, nilitokea kuzoeana na dada mmoja hivi, mrembo balaa, since hakuna mtu ambaye hajawahi ku watch porn yule dada alikua anafanana sana na "Cherise Roze" mwanzo yule dada alikua anajibebisha (mdangaji) alitaka nikamtafune kwa elfu 60, nikamwambia hio pesa sina, tulivyotokea kua ma best akawa anataka hata bure tu nikamkaze. Nilimwambia kwa kazi yake na aina ya maisha anayoishi hata kwa kondom mia siwezi, nashukuru mwisho wa siku alinielewa na tukaishia kua marafiki, na katika urafiki huo nilikua na lengo la kumsaidia aachane na aina hiyo ya maisha aliyokua nayo, bahati mbaya sikufanikiwa kwa sababu baada ya muda fulani mkataba wake wa kazi uliisha akahamia sehemu nyingine tukaishia kuwasiliana kwa simu.

Lengo la kuandika hili bandiko, ni hili, katika siku tulizojuana na yule dada nilijifunza kitu kimoja kutoka kwake, yule dada alinieleza ukweli (uhalisia) aliniambia hivi namnukuu

"Katika maisha yako yote usimuamini mwanamke hata kama akiwa mke wako wa ndoa, mimi ni mwanamke na nimefanya kazi bar mbalimbali katika uzoefu wangu wa kazi hii nimekutana na nimeona mambo mengi, nimeona wake za watu wakigongwa, wanavyuo wakidanga, watoto wa kike wa mitaani, ma house girl wakiliwa kifupi nimeshuhudia uchafu mwingi kwa wanawake mbalimbali, japo waaminifu wapo ila katika mia moja unaweza kukuta hata kumi hawafiki, akaniambia tena katika maisha yako yote "USIFANYE MAPENZI NA MWANAMKE YOYOTE YULE BILA KINGA, HATA AWE BIKRA (wapo wanaozaliwa navyo)" utakuja kufa kwa ukimwi.

Nakumbuka nilimuuliza mfano kama nimeoa hata mke wangu nitumie kinga, alinijibu "Kwa mkeo sawa nenda dry ila usimuamini kabisa kama inawezekana siku ukiwa na familia jenga mazoea ya kupima afya kila baada ya kipindi fulani.

Yule dada alinipa elimu kubwa sana mambo mengine mengi siwezi kuyaandika hapa. Ila nitoe wito kwa kaka zangu, wengi humu familia zetu zinatutegemea uwe umeoa au ujaoa "ukiacha mke na watoto bado wazazi wetu pia wanatutegemea tuwape back up ili wa survive, siwasemi vibaya watu wenye maambukizi hapana, ila kijana ukiupata huu ugonjwa kuna energy fulani ya kupambana na maisha inapungua.

Msisahau kutumia zana, pamoja na ugwadu sio kila msichana na wa kupita nae.
Samahani sana kama nimeharibu uzi ila wakati tunafurahi kula tunda kimasihara tusijisahau tukaja kufa kimasihara.
 
Meko hakufikii kwa chai
 
Daaah wewe mwamba
 
NILIVYOMLA KIMASIKHARA MAMA YEYOOO!
Duh wazee kama mission ngumu duniani ni hii, achana na ile ya George Bush na kumsaka Osama bin Laden.
Hii ilitokea mwanzoni mwa mwaka 2018, uwaga napendaga kutumia ugolo kwahiyo ninakatabia cha kukifuata kwa mama yeyoh mmoja hivi ambae akai mbali sana na mitaa yetu, huyu mama yeyoh tulijenga mazoea flani hv ya kupiga stori mbili tatu kila nikifuata ugolo mana nilikuwa mteja mzuri sana kwake, kutokana na mazoea ayo kama ikitokea siku nisipoenda lazima nikiibuka anihoji sana kwanini sijaibuka.
Jinsi nilivyomla kimasikhara kabisa yani.
Kuna siku bwana asubuhi moja hivi sina hili wala lile lakini na arosto tu la kisuji(ugolo) nikatoka zangu maskani kumuibukia hili anipe zaga, kufika pale nikakuta mlango upo wazi lakini kuna pazia tu limeziba nilizoea kumkutaga sana nje ya nyumba hiyo kwahiyo nikajua kuwa hapo ndo makazi yake, nikaanza kugonga hodi naona kimya ila bado tu nakomaa baada ya muda kidogo mama yeyoh akatokea nikamuuliza vp mzigo kama anao anipatie akasema upo na akaniletea baada ya kunipa mzee nikatoa Silva(jero,mia tano) kumpatia hili nisepe zangu, nataka kusepa mama yeyoh akaniomba nimsaidie kumwekea simu take sauti mana anapigiwa lakini sauti aitoi, mi nkaleta ufundi uchwara pale kile kiswaswadu nikakitoa kutoka silent mpaka normal, mama yeyoh kuona simu yake inatoa tena sauti akaniona mi fundi kweli miksa kushangaa nimefanyaje wakati yeye alishindwa ikabidi nimuelekeze jinsi ya kufanya sasa kuelekezana lazima msogeleane tukawa karibu sana kiasi kwamba mzee joto lake nikawa nalipata kabisa yani kila nikiongea na alivyo karibu yangu ndivyo nilivyogundua kuwa mama yeyoh ni mzuri asee nikaanza kumtomasa kwa kuweka mkono wangu karibu na paja lake nijifanye kama vile ule ukaribu basi nashika paja kwa bahati mbaya naona mama yeyoh hana habari kabisa yeye yupo bize na kufuata maelekezo tu nikampatia simu afanye yeye kama nilivyomuelekeza wakati anafanya zile step zangu akawa amenipa mgongo yani hapo nikaona nimepata nafasi ingine ikabidi nikae nyuma yake nakujifanya naangalia kama anapatia naona tena mama yeyoh yeye hastuki kabisa ikabidi nianze kumshika kivile sasa na huku kichwa cha chini kilivimba kweli mpaka mama yeyoh akanistukia sasa,ikabidi anishike na kuniulza vp tena Mimi bila kupindisha nikamueleza kabisa kuwa naomba mchezo mazungumzo hayakuwa mepesi kiasi hicho sema mwisho wa siku nikamlaza kwenye sakafu chali miguu kaitanua nikaingia moja kwa moja bila hata mkwamo dah! nilistuka kweli yani sema nikaona potelea pote tu nikapiga pale nilivyomaliza nikasepa mpaka kesho sijarudi tena.
 
Ex na masihara wapi na wapi au upo under age??
 
Ila ukiona mwanaume anaweka hoja za ustaarabu sana katika mambo ya mapenzi huwa hana uwezo vizuri wa kufanya mapenzi.
Ustaarabu ni kichaka cha kujifichia udhaifu wake.
Huyo bar maid ungeweza kumpima kama ameathirika au la kisha ukatembea naye ukizingatia alikuwa tayari hata kukupa bure na mliishajenga urafiki.

Wacha eenye uwezo wafaidi.
 
Agiza pepsi popote ulipo mjumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…