Agiza kitimoto na bia
 
Hakuna kichaka cha kujifichia, linapokuja suala la afya yangu binafsi hua nipo makini sana haijalishi nitaonekanaje mbele za watu au mtu fulani. Nina malengo makubwa kimaisha ambayo napambana kuyafikia, sitaki factor ndogo ndogo ambazo ninaweza kuziepuka zinikwamishe.

Issue ambayo ilinitisha zaidi hadi niache wazo la kutoka nae ni kitendo cha kusema anauza utamu wake na kwa jinsi alivyokua ana shawishi alikua anapata wanaume wengi, pili virusi vina tabia ya kujificha, unaweza kwenda kupima na mtu mara ya kwanza asionekane mgonjwa ndio maana hospitali kama umewahi kupima wanashauri urudi tena kurudia baada ya miezi mitatu.
Sawa ningeweza kutumia kondom kama ningetaka lakini kuna issue za romance, hata blow job inaweza kukuambukiza magonjwa.

Kifupi alikua nje ya rules zangu kwa watu wa forex kuna kitu wanaita invalid setup.

Halafu kua mwanaume kamili haimanishi kua kila demu wewe unafakamia, sometimes ina include when, how and why to do or not to do. Inaweza kua ina sound kama najitetea lakini hapana mkuu.
 
This is pornography in written form.

Mjina Mrefu umetisha saana na 3some
 
Na ujanja na wenye uwezo ndio kichaka cha maradhi ya kingonoo..😛😛 hasa ukimwii
 

kupiga nyapi bila ndom kwangu ni marufuku...maisha matamu ati..hata akama nashindia mihogo...
 

naona mwamba unaanza taratibuuuu kuchukua nafasi ya Mikito Mikito ...... 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Hahahaha punguzen ubahir
 
Mmmh hii dunia ina watu na viatu kwa kweli
 
Chai
 
M/kiti nipo hapa tangu mda nachuja mbona.
Fikiria mtu anafukuzia mwaka wakwanza anapata mwaka wa tatu bado masihara? au jamaa mpaka na hela kamwaga au dem ndo kamuanza nayo masihara! Wajumbe mnaniangusha japo siwafokei.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaelea
 
Fikiria mtu anafukuzia mwaka wakwanza anapata mwaka wa tatu bado masihara? au jamaa mpaka na hela kamwaga au dem ndo kamuanza nayo masihara! Wajumbe mnaniangusha japo siwafokei.
Shangaa na wee, eti mtu mnachat sku nzma afu sku inayofuata mnapeana sex eti masikhara khaaaah, sijaona bado mie
 
Nimeishia hapa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…