Wewe ni wale mliolelewa kwenye maadili ya dini yakakukolea..
hata sijui umefuata nini huku?
mna misimamo ambayo mnapenda na wengine waiishi, wote hatupo hivyo
kula chuma, kata chuma na uliwe na chuma
 
Wewe ni wale mliolelewa kwenye maadili ya dini yakakukolea..
hata sijui umefuata nini huku?
mna misimamo ambayo mnapenda na wengine waiishi, wote hatupo hivyo
kula chuma, kata chuma na uliwe na chuma
Humu mimi nipo kitambo mbona, kuna mkasa nilielezea toka mwaka jana jinsi jamaa yangu alivyomla kimasihara demu ambaye nilimuonyesha kua nitamtongoza baada ya kuua pepa fulani (tulikua chuo enzi hizo) jamaa kisa ni bonge la comedian akaenda kumchekesha demu akala mzigo kimasihara nikabaki kua mpenzi mtazamaji.

Halafu mkuu naona watu wengi wame ni quote vibaya, point yangu ilikua tu kuwakumbusha vijana wenzangu tusisahau kutumia zana, hii ni issue ya kawaida kwa wana kama wana kukumbushana. Naamini hata wewe unaweza mshauri mwanao wa karibu ukiona hapa mwana anazingua. Ni kama vile boda boda wanavyotoaga miongozo yao wanakwambia kabisa, hapa gusa pale usiguse.
 
Uliona wapi..
ulisikia wapi pipi ikaliwa na ganda lake?
eti wajumbe inakubalika?!
 
Mtaani kwetu, jumamosi majira ya saa 11 alfajiri naitwa kupitia dirishani na mmoja wa wapangaji wenzangu.
Nauliza tatizo, ananiambia ndugu zake wanasafiri lakini dereva bajaji waliyekubaliana awapeleke ubungo hapokei simu.
Naamua kumpigia bajaji ninayemtumia kwa safari za alfajiri na hatimaye anakuja.
Nasaidia kuweka mabegi yao na hatimaye wanaondoka.
Tunabaki nje na jirani, stori mbili tatu anasema yeye akiamka mapema huwa hawezi kurudi kulala tena.
Namwambia muda wa watu kupata "morning glory" huu. Anacheka huku anaelekea chumbani kwake.
Nami narudi chumbani kwangu huku na kupanda kitandani kumaliza usingizi wangu.
Dakika kadhaa dada anarudi na kufika dirishani kwangu huku akisema ndugu zake wamesahau kubeba chapati alizowaandalia. Nainuka kichovu kuelekea mlangoni, nafungua mlango. Dada hakuniuliza chochote, anavuka kizingiti cha mlango na kuingia ndani.
Kumsogeza kitandani, pandisha dera juu nikajilia vyangu.
 
mkuu siku yako ilianza vizuri
 
Hahahahah, Mkuu hizo chapati alizosema kumbe ilikuwa yale mashavu mawili, ya kwenye mlango wa uzazi!? Maana inaonekana umezichomoa kwenye hotpot (dera) ukazitafuna Asubuhi Asubuhi!!!
 
Daah!! Mkuu siku njema uonekana Hasubuhi ongera sana mkuu
 
Bas nimeshindwa kula kimasikhara leo kisa ndomu, mtoto wa watu kaondoka ivi ivi sijui kanionaje daaaaah [emoji3062][emoji3062][emoji3062],
Back up plan ya tende inakuhusu,,uwe nazo muda wote unakula kwa ajili ya afya Mzee kipara hatakuja k kuangusha .
 
Safi sana 'morning glory' swadakta!
 
Hahahahah, Mkuu hizo chapati alizosema kumbe ilikuwa yale mashavu mawili, ya kwenye mlango wa uzazi!? Maana inaonekana umezichomoa kwenye hotpot (dera) ukazitafuna Asubuhi Asubuhi!!!
Weee jamaa IQ yako kubwa Sana. Jinsi ulivyodadavua hio chapati n hotpot... Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natoka mwanza kuja kahama kwa gari ya ofisi,Dem mmoja wa chuo katuomba lift tukampa. Tumefika ofsn tukasign out then nikachukua pikipiki ya ofisi ambayo huwa naitumia ili nimsindikize kwao Ila nkamwambia tupite geto ili nkabadilishe nguo Dem kakubali. Tumefika him dem kagoma kuingia ndan nikamtishia nje sio kuzuri akaingia. Kulikuwa na kabarid so nkachukua Sweta nkampa akakataa nkamwambia ntalichukua nkimfikisha akavaa nikampiga picha tukasepa. Nikipodrop kwao nkachukua namba nkageuka hom. Chatting zetu hazikuwa nzuri Sana maana mwenzangu alikuwa anajibu kwamkato. Siku moja nikaona nitinge kwao nikamkuta narafiki take nkamwomba aje kunitembelea akakubali kwa sharti la kuja na rafiki yake.
siku ya bahat.
Weekend moja mchana wakaja. Ile wanaingia wakakuta bonge la picha nililompiga akiwa na Sweta langu halafu nimeandika maneno flan hv. Wakati anajiandaa kuniuliza Mara rafiki yake akapigiwa cm na mama yake sense dukan akaahid atampitia akirud. Kifupi ananyonyesha na anadi anampango na mm
 
Hapo mwishoni kaa utulie umalizie vizuri.
 
Sasa haya ndo masikharaa haswaa
 
Mkuu tangia nianze kuusoma uzi huu miezi michache iliyopita leo ndio nimekoment. Nini kilichonifanya nikoment? Ni aina ya ushauri ulioutoa na maudhui yake kiujumla. Pamoja na kwamba sometimes tunacheat wenza wetu inapobidi (kuna mazingira cheatings haziepukiki) hongereni wale mnaoweza kwa namna yeyote ile ila ZANA TUSISAHAU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…