Shukrani mkuu tutendelee kujilinda.
 
unasimulia kwa pozi sanaaa daah
 
Mzee umekutana na mjanja[emoji23]
Huyo atakua hana papuchi, kuna watu wameumbwa wanawake+wanaume, kama ana homoni za kike wanakuwaga wazuri sana ila ndo hivo hawana papuchi, nawajua wengi na wamewaliza wanaume wengi. Mwanamme unakomaa kutongoza kumbe binti sio binti, sio Makosa yao, ndo walivyozaliwa, na kwa tamaduni zetu wanajificha sana wasijulikane
 
Cheeers.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila watu....
 
Sasa kama uko makini si ungempima ukajihakikishia usalama wa kula tunda?

Unapokuja na mawazo ya kutukatisha tamaa kula matunda kimasihara, unatukosea sana mjumbe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Nina mpangaji mwenzangu alihamia hapa ninapoishi wife akiwa safarini. Nikiwa naelekea kazini siku ya jmosi moja akaniomba lift akiwa na mwanae wa kiume wakielekea town. Basi wakati wa kushuka nikamuomba namba yake coz alikuwa mashallah sio kawaida. Basi mchana tu wa siku ile akanitext kunishukuru kwa wema wangu. Tukawa tunaendelea na chatting za hapa na pale. Siku moja nimerudi job kwa kuchelewa akanicall na kuniambia ananiletea chakula na juice. Ukweli nilitamani sana aje kuniletea lakini moyoni nikawa nasita coz nilihofia siku wife akija kungundua siku moja hali itakuja kuwa mbaya. Basi tukakubaliana aje kunileta chakula ndani kwangu. Ghafla nikasikia mtu anagonga geti. Nilipotoka kumfungulia, HAMAD alikuwa mama watoto amerudi kutoka safari. Basi mipango yetu yote ikawa imevurugika usiku ule. Ukweli nilishapanga kumla tunda yule jirani yangu ile siku na wala sio chakula chake alichokipika. Bado tunapanga siku ya kukutana na kunipa zawadi yangu ya ushindi. Na kwa jinsi alivyoumbika, siwezi mwacha hata kidogo na nipo tayari kulaumiwa na ulimwengu mzima.
 
mkuu akiba iyo haiozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…