Jamaaa kazngua Yani ndani ya sku upime ukutwe nayo Apo kadanganya amnaga kitu ka ikooo

Soma vizuri uelewe halafu andika vizuri. Mtu km ana vurusi akipimwa anavyo ila wewe huwezi kupewa na vikaonekana ndani ya siku moja au mbili.
 
Haa ha...watu walionusurika Ngoma wanakuwa na mawenge aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwaka 2014 nilikuwa natoka job, nilipofika nyumbani nje ya kibaraza nikakuta demu mmoja hivi matata sana amekaa hapo, nilikuwa nimepanga wakati huo na tulikuwa wapangaji kama 4 hivi, yule demu nikamsalimia akaitikia vzr lakini alionekana kama vile yupo mbali sana kimawazo, nikaingia ndani nikavua nguo nikavaa bukta na t.sht, nikarudi huku nyuma kwenye kibaraza alipokuwa amekaa, nikamuuliza "Vipi mbona umekaa huku nyuma? unamsubiri nani? akasema " anamsubiri mpenzi wake, huyu mpz wake tulikuwa tunamuita Meneja, kutokana na kubadilisha sana mademu, basi ilikuwa saa 12, kwenye simu hampati huyo meneja, ilipofika saa 2 bado amekaa hapo nje, nikaandaa chakula vzr halafu nikamkaribisha chakula akanyanyuka kuingia ndani mwangu, akala chakula pale tena ilikuwa kipolo cha pilau, nyuma na ndizi, muda huo nampigia hesabu jinsi ya kumla bila kumtongoza, akashukuru sana baada ya kula, kosa alilofanya baada ya kula akakaa kitandani kwangu , kumbuka nilikuwa na chumba kimoja lakini kilikuwa kina sofa moja la watu wawili tu, akajisemea kwamba " Nina usingizi meneja si awahi nikalale? nikamwambia," Upo kitandani hapo pumzika" akainamisha kichwa chini hiyo ni saa 3 inakaribia saa 4, nikasema liwalo na liwe...nikamfuata alipokuwa amekaa, nikamshika begani nikamwambia we ni mzuri sana, hakufurukuta hata, nikahamia kiunoni, kimya, wee! nikaanza kula mate sana, sugua kila sehemu ya mwili wake nikasema, nisipoteze muda, huenda meneja yupo njiani ikabidi nimvue faster, nilimpiga pump yule demu hadi akasema "nakufa jamani kwa utamu" sasa, kumbe meneja kamwagiza mpangaji mwingine kuwa amchukue huyo demu aangalie ufunguo juu ya mlango aingie ndani alale, sasa yule mpangaji mwenzangu akanigongea mlango akaniuliza ..fulani yumo ndani mwako? nikajibu hapana, itakuwa kaondoka kama huko nyuma hayupo, kumbe demu ninae mimi, baadae nikazima taa zote za nje nikamtoa demu akakimbilia kule nyuma halafu nikatoka nje nikazunguka huko nyuma kama vile kuzuga hivi, nikarudi huku mbele ya nyumba nikamuita yule jamaa aliyenigongea mlango, nikasema " mbona huyo demu yupo hapo nyuma ya veranda"? kwenda kweli akamkuta, akampa funguo akaingia chumbani kwa meneja akalala hadi asubuhi, sikuchukua namba yake yule demu wala jina lake sikumuuliza hadi leo sikuwahi kumuona.
 
Aiseee Mimi ndio meneja Sasa utantambua
 
Tutaelewana kidogo kidogo
 
Nitaiga utamaduni wako Wa kujalia na kucheza na watoto mkuu nitaokota dodo may be
Kiukweli ukiwa karibu na watoto wadogo mademu mtaani wanakufahamu sana, maana madogo hata wakienda makwao stori inakuwa ni wewe tu. Nikitulia ntaleta nyingine niliyo kula kwa sababu ya mtoto, ila maza mtu akatufumania japo fumanizi lilikua mechi ya marudio.
 
[emoji23][emoji23] mkuu Tarime Mbona ndio nyumbani wala Ujakosea
Nimekumbuka!
Uji tunavuta na kuita ucchi!
kiboro na chahe!
Eti ndio kiporo na chai! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
mkuu umechenjua demu wa meneja ha ha ha ha ha
 
Wakuu kuna siku 2009 nilipatwa na mshangao usio wa kawaida, nakumbuka ilikuwa naishi Mtoni kwa Azizi Ally siku hiyo ilikuwa saa 6 usiku nikiwa na mshkaji gheto, nilikuwa nimesharoll wigi[emoji377] nasubiri kuliripua ili tupate stimu za kulalia, kumbe mlango wa gheto tulikuwa hatujafunga. Ghafla kaingia mdada mbio ndani huku anaomba hifadhi "Kaka zangu nawaomba mnihifadhi kuna mtu anataka kunibaka" huku akiwa analia. Ikabidi mshkaji afunge mlango kwanza ili tumuulize vizuri kulikoni. Yule dada alikuwa mzuri, kiportable flani hivi miguu ya chupa ya bia na ana macho ya nyege, akatueleza kuwa anaitwa Joyce (Sio jina lake halisi) ametokea Mwananyamala na amekuja hapo Kwa Azizi Ally kwa mwanaume wake. Lakini siku hiyo alikuja kumtembelea tu kwa vile alikuwa period, hivyo mwanaume wake akawa anataka mlango wa nyuma, ndipo akakimbia, yule mdada jamani alituomba sana hadi alifika hatua ya kufunua top yake na kutuonesha K alivyoivisha pedi.
Mshkaji akanibonyeza ili kama vipi tulale nae, ila siku hiyo nilikuwa mwema sana, nikamwambia hapana. Nikamuuliza vizuri yule dada kama labda alipigwa au kujeruhiwa popote, akajibu alikabwa shingoni kidogo na hana jeraha lolote jingine mwilini. Aisee! Nikamwambia mshkaji tumsindikize kituoni tumpe na nauli ili apande gari aondoke zake. Basi tulimpa 5000 na kumsindikiza hadi Kituo (Kwa Azizi Ally kituo cha kupandia kuelekea kariakoo) likaja gari la Msasani akapanda na kutushukuru kwa msaada tuliompatia.
Funzo: Muda mwingine toa msaada bila kuweka lengo maalum au kuhitaji malipo kwa msaada uliotoa
Baada ya hapo tukapitia chipsi pale tukachukua kiepe na kurudi gheto, tukala, tukavuta bangi yetu na kulala [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Sawa mwana math.
 
Uungwana
 
Nimekumbuka!
Uji tunavuta na kuita ucchi!
kiboro na chahe!
Eti ndio kiporo na chai! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
This is pure masikhara.

Cc @eli79
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…