Huu uzi umefufukaje lakini?,si wadau walisema ulifutwa?,kumbe ulikua umehifadhiwa tu kwenye sever?
Haya tuendelee na masihara yeru tuanzie tulipoishia,tunate na beat,miaka kama 4 au 5 iliyopita kuna rafiki yangu alikua na girl wake anasoma chuo cha nursing,weekend moja yule rafiki yangu akatembelewa na girlfriend wake akiwa na rafiki yake,jpili usiku wakati anawapeleka chuo gari la mahikaji likaharibika wakalisukuma mpaka sehemu salama,ndio kunipigia simu kuniuliza kama niko nyumbani akaniambia anakuja na wageni,wamefika home around saa 4 usiku,then tukawapeleka wakala na kupata castle lite mbili tatu,kurudi home tukagawana vyumba tu,yule bint wa Ifakara anayaweza kunako sita kwa aita