kuna yule member alieleta kisa cha kuzaa na shemeji yake, ili kumsaidia kaka yake (bila kaka yake kujua)


hyo stori naitafuta... anaemjua aliepost au ni comment namba ngapi anisaidie.
 
10 yrs back nikiwa o Level kulikuwa na mdada mmoja, alikuwa anapendaga kunitania "mchumba wangu" alafu ukizingatia nilikuwa simuelewi wala sielewi mambo ya sex. yeye alikuwa mkubwa sana kwangu kwaio ilikuwa kama utani ivi.

sasa baada ya muda kupita kama miaka 6 hivi tulipoteana, siku io nikamcheki kwa namba yake baada ya kukutanaga uko kwa mitandao ya kijamii.

basi bwana tukakumbushiana ule utani wa shule, kheee! kama masihara bwana akaibuka mpaka om. kilichofuata sasa............................................

NOMA MZEE
 
Ila huu uzi nikiwa kwenye gali sitaki kuusoma mana dah kilichonikita leo wakulungwa wenzangu acheni tu si nilidindisha wazee dah acheni tu ni shida ila yote kwa yote shukrani kwa kurudisha uzi wetu pendwa
 
Matokeo ya iv yametoka leo tupe mrejesho vp dogo kafaulu au
 
Nakumbuka 2015 na rafiki yangu tulikuwa tunaelekea Tanga. Ubungo kabla ya kupanda basi kuna mdada tulikutana nae, simu yake ilikuwa inasumbua kwenye whatsapp, akaomba nimrekebishie, then kumbe bando lilimwishia hivyo nikaunga hotspot kwangu.

Muda wa kupanda basi nikakaa nae siti moja. Dah! mdada alikuwa kanona balaa, stori zilinoga mpaka sometimes nikawa namshika mipaja yake iliyojaa jaa kama kuku broiler, mara nasogeza mkono maeneo ya kati moyoni nikisema "Nyama nisiile basi hata mchuzi nisinywe?" dah! Nakumbuka sehemu za chakula na vitafunwa tulikuwa tunashuka na kununua, hadi watu wakawa wanadhani sisi ni wapenzi.

Alinipa contact bila shida na alishukia majani mapana, nami nilikwenda kushuka town na kuchukua chumba, siku ya pili nilionana nae town, nikamwambia situation niliyokuwa nayo jana yake!! Alinilaumu sana kwanini sikumwambia, muda huo ndio nilikuwa napanga kurudi Dar!! Akaniambia amekwenda kwenye harusi ya mdogo wake! Akirudi Dar atanitafuta!! Namba yake nimepiga block!!

Onyo
Tunapenda kula kimasihara lakini muda mwingine ukikikosa kimasihara achana nacho , huwezi jua Mungu amekuepusha na kitu gani.
 
Nimekuvua vyeo vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…