Itaendeleaje wakati umeishakula kimasihara mkuu?
Hapo ulipoishia inatosha tafadhali
 
Mazee kwenye huu uzi kuna Mjuba flani alitoaga story yake ya kujikuta anaamka asubuhi kashamla chizi kimasihara, sijui kijiji gani morogoro huko, dah ile story huwa natamani sana muendelezi wake, ni kisanga.
Jamaa sijui imekuaje uzi umefunguliwa lakini yeye hataki kurudi.
Anaitwa Rais Magufuli kama sijakosea.
 
Utahaharibu kazi mzee wangu
 
Reactions: Cyb
Ile mada iliosababisha watu wafukuzwe au wajhame kwenye nyumba walizopanga kisa kutaka kulana kimasihara kulipo buma[emoji23]
 
Nikishaona mtu anasema mkoa X napoteza imani na story yake. JF ndio social network ambayo mtu hawezi kukujua unless utake mwenyewe kujukikana sio kama FB or Insta.... hata useme jina la mkoa uliopo hatuwezi kukufahamu hata kwa dawa.
Mara nyingi ukiona hivyo ni chai!
Analazimisha tuamini kuwa ni real

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliahidi na ukatekeleza..
usiniambie hukuwa wewe..
ila maudhui yalikunasibisha ulivyo na fantasy zako, juzi kati nimekusoma kwenye uzi wa RRONDO umetiririka mule mule
Uzi wa Rrondo nilitiririka kuhusu nini? Mpendwa muda wa kukuaminisha kwamba ile ID haikuwa yangu kwa kweli sina. Utajiju mwenyewe na imani zako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…