Hahqhq duh.... dokta umetisha saaaana
 
Hahahaha khaaa

Baada ya hapo hukuendelea kabisaaa
 
Wigelekelo sina huu mwandiko mzee baba.

Nimehangaika kuutafuta
 
Mbali na kwamba sina hizi dhambi kihivyo kwakweli mbona kama hizi dhambi zako nimezipenda sana[emoji23][emoji23]

Mbona dhambi zako ni nzuri sana jamani. Na zinanukia[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] heh.... ila una ujasiri balaaaa. Khaaa... me wishing u all the bests aiseee.

Kumbe kuna level za dhambi? Walokole wenzangu munasemaje juu ya hili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
@pendomamtefu

Fanya kutuletea zako za kimasihara hata kwa ID nyingine, pale hotel za mombo na unashiriki kupeleka misiba huko kwenu

Kuna kaka yako mmoja nae alitoa kisa amazing, alimkula mfiwa wakielekea Moshi

Fanya tufurahi, najua na unajua unavvyo vya kimasihara kibao
 
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108] Kama movie vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…