Hii ya kwangu haikuwa kimasihara 100% sema tu nimeamua kuihadithia maana "mabaharia" wote humu hakuna aliyeambukizwa ukimwi wala kaswende ila mimi niliambukizwa na kisa chenyewe kilikuwa hivi:
Nilimuokota huko Badoo baada ya kuona "location" ipo karibu na nilipokuwa, tukapanga tukutane mjini saa nane mchana ambapo ilikuwa ni mara ya kwanza kuonana uso kwa uso. Kweli tulikutana kalikuwa kadada karembo flani hivi na kwa kiswahili chake cha Kenya nikasema atakuwa mtu wa huko, tulitambulishana tukal wote chakula cha mchana, nikamsindikiza kufanya shopping kidogo maana ilikuwa zimebaki siku kama 5 tu kufika Krismass. Alijitambulisha kuwa ni mwalimu mmoja wa shule hizi private shule hiyo inaitwa Muntadhili (jina sijaliandika kwa usahihi) nakumbuka kuna kitu alitaka kununua ila hela ikapungua nami kwa huruma ya "kiume" nikamuongezea. Tulivyomaliza manunuzi akasema saa kumi jioni anaenda kuchoma sindano maana yupo kwenye dozi, nikamuuliza dawa gani akanitajia nikasema naweza kukuchoma tu maana nina ujuzi kidogo, akakubali tukapitia pharmacy nikanunua baadhi ya vifaa ambavyo hakuwa navyo.
Wazo la kwenda kumchomea kwake sikuliafiki mwanzo maana kufumaniwa kwingine ni rahisi sana, ila kwakuwa alinihakikishia yupo single na anaishi peke yake nikakubali tukapanda daladala hadi kwake. Mazingira ya pale kwake naona kama zilikuwa hosteli flani hivi ila hapakuwa na watu wengi, palikuwa patulivu sana na ule mpangilio wa chumba chake (self) vilinihakikishia kuwa yupo single. Basi nikamuomba nimkumbatie akaubali...tukumbatiana tukakiss kidogo kisha nikamkumbusha kuwa nimekuja kumchoma sindano. Nilimchoma sindano ya ceftriaxone kwa njia ya mshipa ambapo nilitumia kidude hipi hapa maarufu kama cannula, nilfanya hivyo makusudi ili nije nimpime ukimwi bila yeye kujua, hiki kidude huwa kina tabia ya kuhifadhi damu kiasi flani hivi (mimi ni muumini sana wa kavu kavu, yaani ndomu naweza hata kukesha bila kuko**j*a yaani huwa zinanibana sana!)
Basi bwana ila namaliza kumchoma si mzee huku chini kasimama vibaya na kumbe demu akaniona, akaniuliza utawezaje kwenda na hali hii na akaishika ikiwa ndani ya suruali , nikawa mtulivu, nikamuomba animassage ili ipoe niweze kwenda, mara akaniambia "za hivi huwa tamuu" dah! maneno hayo yalipenya ndani kabisa ya moyo, kilichofuatia ilikuwa nistory nyingine na wote tukaanza kujilaumu eti "imekuwaje tumegegdana siku ya kwanza tu tumeonana!'
View attachment 1248719
Pamoja na yule demu kutaka nipige cha pili mimi akili yangu ilikuwa inawaza jambo jingine, kuwahi na kuichukua ile damu kabla haijaganda na kumpima huyu demu maana majuto ya kwanini nimemkula kavu yalikuwa yameishaanza kunijia kichwani(kila mtu anaogopa ukimwi ila mimi ni zaidi ya basi tu kushinda tamaa za mwili inataka nguvu kubwa). FAsta nikakusanya zile takataka: mabaki ya sindano chupa nk. alinikatalia nisizichukue ila nikasema pale kwake hamna sehemu ya kuteketeza, fasta nikachukua bodaboda hadi kwangu...vitenganishi vilikuwepo na nikapima kwa kutenga sample 2, hahaah wenzangu wa biology wanajua kwanini! .....
Majibu yakasoma bila chenga, demu anao! dah! majibu ya ukimwi yasikie kwa wengine tu, basi nikatulia, hapo ni saa mbili usiku, nikakimbia zahanati na kufanya utaratibu wa kuanza PEP, hii ilikuwa mara ya pili kumeza hizi dawa mara ya kwanza zamani kidogo nilipata ajali ya kujichoma na sindano, nilideka wakati nameza hizi dawa ila mara hii ilikuwa ni kosa langu na wife sikumwambia kwahiyo nilikuwa nazimeza kwa siri huku nikivumilia mateso yote.
Kesho yake ilikuwa narudi kwa huyo demu kumchoma sindano maana nilimuahaidi kurudi, sasa hiyo kesho nimerudi nilikuta demu kajiandaa kwaajili ya kuliwa kuanzia unyayo hadi utosini...na wakati huo kidume sina stimu kabisa, alikuwa amekupigia sijuhi bikini ile sijuhi g-string na kanga moja sijuhi kanga ama ulukuwa mtandio, ila mimi akili zipo mbaaali, mara akaanza kujisemesha oooh, haya makovu nilimeza SP (nahisi kalikuwa kameishapitiwa na mkanda wa jeshi)..
Nilipomaliza kumchoma sindano, nikaseti alarm kiaina kwenye simu alafu simu yangu ikaita nikajisemesha nakuja haraka, nikadanganya nimepata dharula na kusepa zangu, yaani niliacha mbunye imeniangalia hivi...baadae yule demu alienda kwao kula sikukuu, aliporudi ikawa nakwepa kila akinipigia simu!
NAJUTA SIKUMWAMBIA HALI YAKE ILI AWEZE KUANZA DAWA MAPEMA! ila ningeanzaje kumwambia hapo ndipo niliposhindwa.
Baada ya miezi 3 (ila nadhani nilikuwa najipima ukimwi kila wiki) nilionekana bado nipo salama ila usidhani nilikoma kuuza mechi....nitauja ni kisa kingine hiki nilienda kwa mtu wa sekta ya afya (schoolmate) nikiamini huyu ni mwangalifu kama mimi...kilichonikuta ni kujutia nauli yangu na kupanga hotel ya gharama kumbe naye yupo kwenye dozi ila alikuwa nanataka kunikamatisha!
NDEFU SANA SORRY!