Halafu story nyingi za wavinza humu huwa mnaanza kwa kushika mkono sijui mara unajaribisha kushika tako, mara kiuno huku ukiangalia respond ya bidada, unahama kidogo kidogo unajikuta imo ndani....
WaVinza Majitu ya Kigoooomaaa...
 
Ulipewa na mtoto wa kike akulinde safi, sema ingekua mimi ningeogopa ile kuwa mlinzi kwa wachawi ningemuuliza maswali kinoma
Hapo kwanza ungekua umeuza Mechi Ugenini, Aaf ungetia Aibu sana watu wa Dar ungesababisha wote tuonekana Chips Yai Kamoko Chaliii.
 
Inabidi mods wawatag wasimuliaji wetu wakali kuwa uzi umerudi,kumepoa sana humu na wikend yote hii
Hivi wewe huwezi kusimulia hata kwa kuunganisha maneno kama Wavinza wenzio au ndiyo Total Observer. Type yenu hata kwenye groups au vikao mnakuaga kussuport points za wengine.(Plz take it positively)

I once was just like you and now am totally someone else.

Please try to be different we're all in here to enjoy.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulizingua sanaa why sasa hukumlaaa????
 
Dadeq.....umetisha sana mkuu
 
Mkuu wewe kweli nyuki wa mashine hawan'gati huwa wanakuwa bize na pumba.
 
Chuo kikuu cha dini nyanda za juu?!! Nahisi kitakuwa ni chuo cha Moravian lutengano tukuyu
 
Chai
 
Hapo kwanza ungekua umeuza Mechi Ugenini, Aaf ungetia Aibu sana watu wa Dar ungesababisha wote tuonekana Chips Yai Kamoko Chaliii.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hivi mkuu upo ugenini anakuja manzi anakuambia mzee kanituma kaniambia nukulinde wachawi wasikusumbue, huoni yeye ni noma zaidi ya wachawi hao ningechana mkeka kuna mechi unatakiwa uzipoteze tu sio kila mechi ni halali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimejikuta nasoma komenti yako kwa hasira alafu huwezi amini hasira zimenipanda kweli hivi kwa nn ukuligonga we jamaa
 
Waswahili wanasema umekula mayai na vifaranga. Embu fanya kutuwekea mkasa wa Nina ila dah kauzi ketu kananiliwaza sana na aya mastresi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…