korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Daaaaah mamaeeeeeeeeee wwUkienda utapewa mlinzi wa kiume
Vipi tena mbona Mshangao Baby!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuuuh lol
Shukran sana. Sema nini inanichukua muda sana kuandika maana Aaf nipogo bize kiasi flani na nikiingia ili niandike nakuta hakuna zingine tangu nlivyopost yangu jana yake kwahiyo navunjika Moyo. Anyway, nikitulia ntawashushia ya Shamsa Ford.Mzee huwa unasimulia unachekeshaga sana, Part 1 imekaa vyema, sasa nasubiria part 2 ya Nina usicheleweshe mzigo sasa
Wewe yako iko wapi iliyofeli?Kumbe hamjala kimasihara Sasa maneno mengi ya Nini?! Uzi ni kwa ajili ya waliowahi Kula tunda masihara...Sasa nyie mnaanza kueleza mlioacha kula tunda kimasihara....Kama ni mtihani mmeshafeli
Damn!Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat? Hii n masikhara OG, plz pita mliman city chukua chochote nakuja kulipa chap kwa haraka. BAHARIA wa kiwango cha Uchumi wa Kati. [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Thats how sometimes we gentlemen behave like.Safi sana kk
Mimi kuna demu nilikua na relationship nae hizi long distance kwa mwaka na kitu ivi, mavideo call kila kitu hadharani lakink huezi amini alikuja field location niliopo lakini hakuja getto nilimpanga lakini wapi ananipiga calendar mara uchaguzi upuuz upuuz tu pia nilikua nahofu nae coz ilikua haipiti mwezi anaumwa,
Alivochomoa wala sikumaindi nilimute tu, na yye akamute baadae akanichekigi nikajisemea nop siwezi endelezq mahusiano na huyu dad huezi jua mungu kaniepusha na nini, sometimes inatokeaga tu kama bahati kuepushwa na jambo coz nilikua na hisi ni positive....
Ahsante kwa burdan japo niNipo zangu Moro town nikiendelea na mishe za hapa na pale mara simu ikataita, nikaitoa mfukoni ,nikaangalia anayenipigia ,jina linaonyesha Best. Best ni rafiki yangu wa karibu sana na mara nyingi simu zake zinahusu madili ya pesa. Baada ya kubonyeza tu alama ya kupokea ,Best akaniuliza "IGA unamtaji wa kama milioni 4 hivi nikupe dili la kudabo mtaji?" nikamjibu kwamba ninazo. Basi akaanza kunielezea kuhusu dili lenyewe, "IGA huko Moro kuna kijiji kinaitwa Mwaya kuna wazee wanauza mpunga kwa bei ya kutupa eti gunia shilingi elf40, kwa mtaji wa milioni hapo unapiga gunia 100 unazibeba kwenye fuso mpaka Ifakara hapo utazihifadhi mashineni mpaka mda soko likiwa zuri unakoboa na kuuza mchele hata kwa shilingi lak na 40 kwa gunia". Nikamwambia Best anipe mwongozo namna ya kufika kwa hao wazee huko Mwaya, Best akaniambia nimfate mshkaji wetu Piu , nimwambie anipeleke kwa mzee Jo. Piu tulimpa jina la Msomea kijiji, alitoka bush kuja town kupiga kitabu , msuli wake ulikuwa si wa kitoto, lakini mwisho wake huu mwaka wa pili sasa nae anaunga unga tu hapa Moro ili maisha yaende. Nikampigia Piu nikamwambia aje geto kwangu jioni bila kukosa, kweli jioni ile Piu akaja nikamweleza nataka kufika Mwaya kesho kwa Mzee Jo, nimepata taarifa anampunga magunia ya kutosha anauza kwa bei ya kutupa, nikamwambia dili likitiki 10% ya kwake, Piu akakubali kunipeleka kwa mzee Jo.
Kesho yake asubuhi tukawah stendi tukapanda basi la kuelekea Ilonga kupitia Mwaya. Jioni sa 11 tukashuka hapo Mwaya.Piu akaniambia ili upate ukarimu wa kupitiliza kwa mwenyeji mnunulie zawadi, biashara itanoga. Basi tukaenda dukani tukanunua Mafuta ya kula lita 5, sukari kilo 1, majani ya chai, dagaa wa elf 10 na maji safi trei 1 hapo nilitumia kama elfu 45 hivi kwa ajili ya zawadi. Tukachukua boda boda tukapanda mshkaki na mizigo yetu mpaka kwa mzee Jo. Tukamlipa boda boda buku 2 akatushushia mizigo yetu chini.
Mzee Jo alipomwona Piu akatoa tabasamu zito alafu akaja na kutukaribisha ndani, tukamsalimia yeye na mkewe na pia alikuwapo binti yake wa miaka kati ya 20-23, nae pia tukamsalimia na akatuamkia tukaitika. Piu akamwambia mzee Jo, " nimekuletea mgeni amekuletea na hizi zawadi, mgeni atajieleza zaid kilichomleta'. Kabla sijaanza kuongea Piu akanyanyuka akaaga , anaenda kuwasalimia ndugu zake ila kesho asubuhi atarudi. Mzee Jo akamwambia sawa ila kabla ya kuondoka tuchinjie Jogoo letu moja kwa ajili ya kitoweo cha mgeni usiku huu.
Nikabaki na mzee Jo, nikamweleza nahitaji magunia 100 ya mpunga nimeelekezwa kwmba nitayapata kwake, Mzee Jo akafurah sanaaa, akasema yapo na bei ni sh elf 40 tu nitakuuzia. Baada ya maelewano hayo tukatoka nje tukaelekea kwenye nyumba nyingine ndogo ambayo imetengenezwa kwa matofali ya kuchoma ila imeezekwa kwa nyasi ipo jirani na nyumba annayoishi. Tukaingia ndani tukakaa kwenye vigoda akanimbia kwa leo utalala hapa ili kesho tupakie mzigo wako, nikamshukuru nae akatoka nje. Baada ya lisaa mlango ukafunguliwa yule binti wa mzee Jo akaniletea chakula, ilikuwa wali kuku huku paja zote mbili nimewekewa mimi, akaninawisha mikono akanikaribisha alafu akatoka nje.
Nilipomaliza kula nikawa nimejiegesha tu kitandani maana anapoishi mzee Jo umeme wa REA bado haujafika ingawa nguzo tumezikuta zimelazwa njiani. Mara mlango ukawa unafunguliwa taratibu nikawasha tochi ya simu kumulika nikamuona yule binti, nikamwambia nimemaliza msosi vyombo viko pembeni hapo, akasema ameagizwa aje kulala nami ili anilinde. Nikapata na vyote , Mshtuko na mshangao kwa pamoja! nikamuulizwa ulinzi wa nini? akajibu kuna baadhi ya wenyeji wa kijijini ni wachawi wanapenda kuwachezea wageni kwa hiyo nikiwepo na mimi humu hawataingia. Basi bana nikamkubalia ulinzi wake, ila nikamuuliza tena huo ulinzi utakaa macho tu? akasema hapana, kitendo cha mie kulala tu humu ni ulinzi. Humo ndani kuna kitanda kimoja tu, tukapanda kitandani tukaanza kupiga stori za hapa na pale, baadae ukimya ukashika nafasi. Basi dakika kama 10 baada binti akalala mlalo wa kujikunja miguu, msambwanda wake ukawa unanigusa, sikuchelewa mpini ukavimba ghafla, binti kumbe alikuwa macho akaguna alafu akaniambia "pole ila usijali nitakusaidia nipo kwa ajili yako usiku huu" nikamjibu "asante kwa ofa" , sikupoteza mda, nikamfungua kanga aliokuwa amevaa nikampapasa nikagundua hajavaa kitu, binti kwa kweli mashalaah kajaaliwa na muumbaji. Tukapiga show yetu ya kimya kimya dk kama 30 hivi wote tukaridhika tukalala.
Asubuhi nikamshukuru mzee Jo kwa ulinzi alionipatia, Piu akaja na fuso tukapakia mzigo nikamlipa mzee Jo kwa njia ya mtandao, nikamwambia biashara ikienda vizuri nitarudi tena msimu ujao. Naondoka na furaha ya kumbukumbu ya show ya usiku na binti wa mzee Jo.
Search kwenye huu uzi jina Careem, tangu niwe Emiir nimepoa sana.Ningekua mod ungekula ban ya maisha lete kisa hapa wasomaji tupo ushauri wa nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]Hii mada imetoka kifungoni?
Umetisha sanaaa mkuu hii taasisi hapana shaka ni IFAKARA HEALTH INSTITUTE (IHI)Siku moja nimepanda daladala za kwenda Bagamoyo pale makumbusho miaka kadhaaa iliyopita, nilikua naenda kwa shughuli binafsi.
Kiti nilichokaa ni upande wa dereva kiti kimoja kabla ya kiti cha mwisho kwenye daladala, nimekaa dirishani. Kidogo daladala inaelekea kujaa akaja binti akakaa siti nyingine pamoja na mimi, alivyokaa tu ni kama alijiachia, kama alikua amechoka sana.
Nikamsalimia akaitika, nikampa pole akaipokea vizuri. Kisha tukaanza safari kuelekea bagamoyo. Tukafika njiani kule mapinga tumeshakua wenyeji, story nyingi sana ila binti akaonyesha kama ana msongo wa mawazo, binti alikua anafanya kazi taasisi moja inafanya utafiti wa magonjwa ya kitropiki, inaanza na jina la wilaya moja huko Morogoro.
Baada ya kuwa marafiki, akanikaribisha kwake, tulipokaribia kufika mimi nikashuka kwanza yeye anaenda kushukia mjini. Nilipoka hotelini kwangu nikaoga, nikapumzika kidogo, akanipigia simu kama sijala niende apike tule, hapo mawazo ya kishetani yakaniijia kichwani, nikaenda shop nikachukua condom kisha nikaenda kwake.
Kufika nakuta ndio anatoka bafuni, ameshapika ananisubiri tule, so ile kufika ni kama nilimuwahi kabla hajavaa, ana kanga tu, alikua anaishi kisela, kitanda, kochi mbili na vikorokoro vingine.
Nikaingia mnyama nikakaa kwenye kochi, akaomba anyooshe nguo za kazini kesho yake kwanza kabla hatujala kwani umeme ulikua unakatika katika sana, nikamwambia nimsaidie kwani mimi ni bingwa wa kunyoonya, akakubali.
Pale alikua anayooshea kitandani, akanipisha mzee nikaingia kwenye fani, nikaipiga nguo moto mwenyewe akafurahi, nikanyoosha na nyingine za ziada, akafurahi sana.
Sasa ile nimemaliza kunyoosha nikawa nimeishikilia ile nguo yake ya kwanza(ni vazi la kitaaluma), akaja kama ananisogelea hivi, nikamvuta kama namkumbatia, akajaa mzima mzima, kumbuka hapo ana kanga tu, alikuja kujikuta kitu ishazama muda mrefu, kilio cha kufa mtu.
Baada ya gemu nzito, mtoto akawa na huzuni sana, sikuelewa ameanzaje kua na huzuni huku wakati wa gemu alikua anagugumia kwa raha, kumbe vile nimemla bila condom na bila kujua afya yangu. Akaanza kulia, akasema lazima anipime, alikua na hizi test kits nyumbani kama walivyo watu wa hiyo fani.
Baada ya majibu yangu kutoka yako poa, mtoto akanipa show nzito sana, nimetoka kwake sa 7 usiku.
Huyo ndie demu nilikula kimasihara bila kutongoza na kwa muda mfupi sana. Nitaleta wengine soon.
Yesu ni bwana,toa hata sadaka ya shukrani kanisani nadhani Mungu alimtumia mdogo wako kukunusuru,kweli Mungu yupo usiku badala ya kunywa ulitakiwa ufanye maombi ya tobaaNina kama wiki nne nipo bush kwa shughuli za kilimo. Mwenyeji wangu hapa ni mdogo wangu ambaye ni daktari kwenye hospitali ya Kijiji. Maisha hapa ni mazuri, Kijiji kimechangamka Sana. Nilikuwa nahitaji vibarua wa kunisaidia kazi za shambani ndipo mdogo wangu akanikutanisha na binti mmoja na akaniambia nikihitaji vibarua niongee na huyo huyo binti ana connection zote za hapo kijijini.
Mambo yalienda vizuri, mwanzoni binti aliniletea vibarua kumi Mara ya pili ishirini na kazi ya shamba ilienda vizuri Sana! Taratibu Yule binti akaanza mazoea ya kupenda Sana kuchati na Mimi hasa wakati wa usiku na nikichelewa kujibu au nisipojibu analalamika sana. Kwa kuwa yeye ndio msaada wangu niliamua kutokumkwaza nikaamua kuwa nae tu karibu, sikuona shida katika hilo. Akawa anakuja hata nilipofikia anapiga story na kurudi kwake.
Taratibu story zikaanza kuzagaa kijijini kuwa Mimi natafuna yule binti na mtu wa Kwanza kuniletea hizo habari ni binti mwenyewe. Akasema anakosa raha maana anasemwa Sana na kinachomuuma ni kwamba Jambo lenyewe sio la kweli. Nikamwambia huwezi kuwazuia watu kuongea chochote wanachoona kinafaa, fanya mambo yako kama kusemwa huwezi kumzidi diamond ila umewahi kumuona analalamika?
Basi binti akaelewa maisha yakaendelea. Hazikupita siku tatu kaja gheto usiku na hoja zile zile eti hali imezidi kuwa mbaya anasemwa Sana! Yaani anakosa raha, moyo unamuuma. Nikamuuliza kama utani tu au tufanye kweli ili wafurahi? Binti hakujibu. Nikasema huyu atakuwa anataka mashine huyu, leo simuachi!
Mzee nikamsogelea karibu mithili ya Mithuni Chakaroboti, nikamtazama usoni kwa macho ya matamanio, nikamshika paja! Nikakohoa kikohozi kisichosikika, muda huo binti anahema juu juu kama kinda la ndege. Muda huo najiona kama Akshey Kumar kwenye kuchi kuchi hotahe, nipo serious kichiz na Jambo langu. Hatimaye binti akanipokea, akazungusha mikono yake shingoni kwangu huku anatazama chini kwa aibu, mambo mseto!!
Sinaga busara kabisa kunako sita kwa sita, nikamfungua kanga aliyokuwa amevaa, nikakutana na sketi, nikaifungua kifungo dadeki mtu anatafunwa leo! Nikapekenyua chupi nikataka nianze kuichezea nanii yake ghafla mlango ukagongwa!
Ndio nikakumbuka nilikuwa na miadi na mdogo wangu (daktari) Kuna hela aliniazima akasema atakuja kuichukua usiku, basi akawa amefika akagonga hodi nikatoka kumpa hela yake. Akashangaa Sana maana hakuzoea kuishia mlangoni akifika pale gheto. Nikatoka kumsindikiza kidogo katika story story ndio nikamwambia gheto nipo na yule binti uliyeniambia nimtumie kupata vibarua.
Akashangaa Sana. Akaniambia yule binti kaathirika na yeye ndio aliyempima Mara ya Kwanza na huwa anampa ARV Mara kwa Mara pale hospitali. Akasema kama siamini kesho yake niende hospitali atanionyesha udhibitisho. Nilitoa macho kinoma! Kwa hiyo nilikuwa nakonektiwa kwenye grid ya taifa kirahisi namna hiyo yaani.
Sikutaka kupaniki niliporudi nikamwambia bi dada nimepata dharura kama vipi aje kesho maana Mimi mwenyewe natoka. Basi nikatoka naye, yeye akaenda kwao Mimi nikaenda zangu bar nikaagiza Serengeti light nne nikanywa weeeh... Nikalewa nikarudi kulala huku nikisali sala ya baba yetu uliye mbinguni.
[emoji23][emoji23][emoji23]mara moja tuu sio?Hahahahahaha,,,umetisha mzee baba hapo 50 kwa 50 amekula kiepe na ww umekula papuchi yake ila hutakiwi kumtafuta tena kura kimasiahara ni mara moko tu
ulizingua mwambaDaah alimanusra nile tunda kimasihara
Nakumbuka nilikua namlekebishia Maza Antenna Asa nyumba ya jirani iliyokua ikitizamana Nyumba ambayo Maza alipanga kuna anti alikuwa ananichungulia kupitia Dirisha Lake, sijui uvumilivu ulimshinda akabidi aje aniite nikafungie Fann lake Asa nikajiuliza Me nafeni Wapi na wapi
Ikabidi niende tuu hapo ilikua baada ya kufunga antena ya Maza,nimefika mle ndani akanionyesha fan lenyewe
Kumbe ni la juu(panga boy) basi cjatahamaki nashangaa amebaki na kanga moko
Me nikaendelea kulifungua lile deni ghafla nilivyolishusha nakuanza kulikagua pale kitandani kwake naye akapanda chaajabu akausogeza uso kwangu kabisa nami nikajifanya macho yako Bize kwenye fani
Amini usiamini yule dada alionionyesha kila dalili ya kutaka nimkanyage lakini mtu mzima hata hisia sikua nazo
Mwishowe ikabidi aniambie kama imeshindikana liache nitalipeka kwa fundi, kisha akaniamuru nitoke
Tangia hapo yule dada tukionana naye anasikitika sana cjui kwanini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka mitatu na mtoto bado ananyonya? Story nzuri
Kkubabakeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulikuwa unaungua kizembe.Nina kama wiki nne nipo bush kwa shughuli za kilimo. Mwenyeji wangu hapa ni mdogo wangu ambaye ni daktari kwenye hospitali ya Kijiji. Maisha hapa ni mazuri, Kijiji kimechangamka Sana. Nilikuwa nahitaji vibarua wa kunisaidia kazi za shambani ndipo mdogo wangu akanikutanisha na binti mmoja na akaniambia nikihitaji vibarua niongee na huyo huyo binti ana connection zote za hapo kijijini.