Umeshapima sasa
 
Chuo nilikua na matukio ya hivyo mengi sana, maana mimi nilikua ni mpenda kitabu sana,i mean nilipenda kusoma na nilikua naelewa mambo mengi, so mambo ya kusovu yani kuletewa ishu za kuzitatua ilikua sehemu ya maisha yangu ya chuo.wanategea lakini
 
Sasa mkuu kama ni + na anaumwa umwa mavideo call na ma appoitment yalikuwa ya nn? Uzinzi ukishindikanaga ndo tunamtaja sana mungu kuwa kaepusha. Mbona hakuepusha video call za utupu na ww kuomba game? Yeye anaepusha pale mwanamke akikaza tu?
Ndo kuepuka uko!!
Nyege unazijua vizuri πŸ˜…πŸ˜…
 
Daah!! Mwanangu nimegundua usiogope Demu wala kumuhofia kwa chochote wewe Mchane hata kama akikuzingua Day 1, Amini kwamba; kuna siku atakupea Tamu.[emoji179][emoji847]
Ushanipa maujanja ipo siku nitaivamia posi kali moja alafu nitamwambia twende tukagegedane kimasiara tuone atasemaje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hapo uliliwa kimasihara
 
Pole sanaaa mkuu namm nina story ya kunusurika kuungwa kwenye grid kama hii yako nikipata muda ntaiweka humu
 
Aisee hii kitu imenipa midadi sana,,,by the way narudi nyumbani kuoga,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chuo nilikua na matukio ya hivyo mengi sana, maana mimi nilikua ni mpenda kitabu sana,i mean nilipenda kusoma na nilikua naelewa mambo mengi, so mambo ya kusovu yani kuletewa ishu za kuzitatua ilikua sehemu ya maisha yangu ya chuo.wanategea lakini
Tupe kisa kimoja basi Mkuu au ulikuwa nyoka kibisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Matunda yameisha nini mbona watu hawali wanapiga stori tu
 
Mkuu kama hautajari mzee jo bado yuko hai nikamcheki? Niko maeneo ya ifakara hapa nikachukie mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…