Mkuu kama hautajari mzee jo bado yuko hai nikamcheki? Niko maeneo ya ifakara hapa nikachukie mpunga
Jomba ule msimu walivuna mpunga mwingi sana, safari hii wamelima mahindi maana bei yake iko juu kuliko mpunga. Ila hawajui tu kwamba wengi kule wamelima mahindi kwa hiyo bei ya mahindi itashuka.
 
Woyooo lete kisa mzeebaba
Aluta kontinyua

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mbona watu hamli matunda?

Au mpaka dajtada aseme?

Kina jamaa chupuchupu akonektiwe kwenye "grid" ya taifa.
 
Kuna zali la mentali lingine limenitokea hapa Moro, yaani kimasihara tu hata bila kutumia nguvu mzigo uliingia na kunitunuku zawadi ya tunda. Ishu yenyewe ilikuwa hivi; mara nyingi wiki endi huwa ni siku za mapumziko kwangu, nikishamaliza kufua asubuhi naendaga kwa msela wangu Bob kutengeneza mikeka (ku-bet). Bob anaishi na mama yake, wadogo zake wawili wa kiume, mtoto wa binamu yake (miaka 3-4 hivi) , dada wa kazi na binamu yake mrembo haswaa ambaye yupo chuo Mzumbe huwa anakujaga mara moja moja haswa wiki endi kumcheki mwanae na familia ya shangazi ake.
Mara nyingi tunatengeneza mikeka yetu kwa madaftari peni na simu za kiganjani, mtoto wa binamu yake huwa anatuleteaga usumbufu pale kibalazani , mara achukue peni atake kuandika mara anataka simu, basi ni vurugu tu. Nikasema dawa yake ndogo tu, nikanunua fuko zima la chama na maputo ya kuchezea watoto kila wikiendi nikienda kwa Bob nabeba chama kifuko kimoja na puto moja , dogo akija tu nampa namwambia haya kacheze ndani, hapo si tunaendelea na mitkasi yetu. Basi ikiwa ni mazoea kwa kila wiki endi mwendo wa chama na puto.
Siku moja Binamu ya Bob akaja katukuta mi na Bob pale kibalazani akatusalimu akaingia ndani. Baadae katoka tukaanza kupiga nae stori huku sie tunaendelea na mikeka. Wiki iliofata nikaja tena kama kawa dogo katoka ndani kanikimbilia kama baba ake , nikampa chama na puto, mama ake alikuwepo , nikamsalimu nikamuuliza kumbe upo hujarudi chuo? akasema yupo likizo. Binamu akasema mwanangu kakuzoea alafu inaonyesha anakupenda huku anatabasamu, nikamjibu kawaida tu , mi pia napenda watoto wadogo ( hakujua kwamba ni mbinu ya kukwepa usumbufu wa mwanae).
Wiki endi iliyofata sikwenda kwa Bob niliamua kupumzika tu gheto kwangu. Mara nikasikia mlango unagongwa, nikauliza we nani , sauti ikajibu mi Binamu, nilikua tumbo wazi maana joto sana, nikavaa singlend fasta nikaenda kufungua mlango. Nikamkaribisha binamu ndani tukasalimiana, akaanza kuniambia, unajua IGA leo mwanangu amekuulizia sana , maana amenisumbua mara nataka puto mara chama mara anko IGA nikasema ngoja nije kwako maana umeufanya moyo wangu kujawa na upendo mwingi juu yako kutokana na upendo wako kwa mwanangu. Mi nikabaki nakodoa macho tu maana sikutegemea ugeni wa aina hii, alikaa kwenye kiti akaamia kitandani , akasema IGA sina cha kukupa leo zaidi ya penzi hili naomba ulipokee maana haijawahi kutokea vijana wakawa na upendo wa ukweli kama wako kwa mwanangu kwa kumletea zawadi kila unapokuja. Mtoto wa kiume nikajibu Asante binamu. Binamu mrembo jamani anashepu moja matata hata akipita mtaani lazima shingo zigeukie kwake. Tukaanza pale mabusu na mipapasano, mihemo ikalindima pale ambayo kwa mtu wa miaka 80 lazima adanje. Tukapiga shoo kama ya dakika 30 hivi maana kabla hajafika nilichajipigia masta kwa hiyo ilisaidia kuongeza muda wa kuinjoi show. Nikajisemea kimoyo moyo nakushukuru mtoto wa Binamu.
 
Mods kuna vitu wanashindwa kuelewa huu uzi huwa unanifurahisha sana unatoa stress hku unacheka, kuna story za ukweli zingine za uongo ila tuna enjoy, yule jamaa alokula mchawi kimasihara alitisha sana[emoji28][emoji28][emoji1316][emoji1316]
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tunakunywa kavu au utatupa na vitafunio
 
Safi na hongera mkuu huyo wako sasa liendeleze
 
Hatari sana waleee...!! Na shangaa zile
Vadala va kunyumba muvi kwoki, kuna mgosi huku naha apagaiwi na tete, aloli na zeni kachumbali za mchi wunu.

Chezea wangoni weyeeeeh wanalala mbele na mtu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitoka apo lazima uende ukatubu mkuu na utoe sadaka kama shukran kuepushwa na grid la taifa
 
Noma sana kamanda vp lakini binamu kwa sasa mnaendeleza gemu au kila mtu kachukua hamsini zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…