Tupe kisa kimoja basi Mkuu au ulikuwa nyoka kibisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina visa vingi sana sema sasa Kusimulia nako nikipaji eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mnawezaje wavinza, sikuchukaga masomo ya arts nilichukua science tangu na tangu nimechagua kuwa msomaji tu [emoji23][emoji23]
 
Huko juu umeelezea vizuri ila sasa kwenye paragraph ya mwisho ambako ndiyo kiini cha uzi ukaelezea kidogo sana bila mbwembwe nyingi, hebu ongezea nyama
 
Mods kuna vitu wanashindwa kuelewa huu uzi huwa unanifurahisha sana unatoa stress hku unacheka, kuna story za ukweli zingine za uongo ila tuna enjoy, yule jamaa alokula mchawi kimasihara alitisha sana[emoji28][emoji28][emoji1316][emoji1316]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Stress free zone
 
Huko juu umeelezea vizuri ila sasa kwenye paragraph ya mwisho ambako ndiyo kiini cha uzi ukaelezea kidogo sana bila mbwembwe nyingi, hebu ongezea nyama
Mkuu hapo kwenye nyama kwa kweli naogopa nitavuka mipaka maana naweza nikaenda dipu mpaka nikapitiliza na kuanza kumkumbuka binamu bure. Ila kifupi binamu alifikiri ananizawadia tunda ila kiukweli siku ile nilimpa raha mpaka akasahau kama yeye ndie aliekuja kunipa ofa.
 
"kwa staili iliyopitishwa na serikali
 
WAKUU MNAONAJE HUMU TUANZE KUJADILI JINSI YA KUANZISHA VIWANDA ...TUACHANE NA HIZI MADA ......ILI TUWE SUPER POWER [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Azisha mada Ingine

Zingatia muktadha boss
 
Ulishajipiga masta[emoji1][emoji1483]
 
Umeamua kubadili taito ya uzi kabisa kutoka kula kimasihara mpaka kushindwakula kimasihala eeπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰. Boya ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…