Mkuu vipi hicho kimeo mlifanikiwa kukichomoa au ndio mli-carry over kimasihara?
 
mtoto mdogo mdogo alikuwa wa umri gani mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poa mkuu thanks kwa ushauri
 
Mzigo aliokuja kuuchukua mliuacha wapi??[emoji23][emoji23] Na inakuaje huyo mtoto asafiri mwenyewe bila hata kusindikizwa??

Kirahisi rahisi tuu mtoto kakupa namba[emoji23].

Kirahisi rahisi tu mtoto kakupigia [emoji23]

Kirahisi rahisi mtoto kaahirisha Safari

Kirahisi rahisi mtoto kalala kwako.

Eti anaishi na Dada yake na sio mtu wa kumbana kiivyo kwamba hata huyo mtoto asipofika siku hiyo aliyotegemewa kusafiri ndugu zake watakaa kimya tu?

Na vipi huyo mjomba ake hataulizia kua mzigo umefika?? [emoji23][emoji23]

Hii chai mkuu[emoji23] Ila freshi umechangamsha uzi
 
Hadi nimekuonea wivu.

Sent from my ONE A2001 using JamiiForums mobile app
 
Raff Ryder ni vitu gani hivyo?
 
@Jokajeusi bikra zenyewe ndio kuna wahuni wanapita nazo kama hivi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
mpaka leo mkuu
 
Wacha bwana Uncle Jimmy ktk ubora wake
[emoji16]
 
I feel your pain brother. Hata mimi ishanitokea zaidi ya mara moja. Mzuka wote unakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…