Daaah!! Hapa nimeshakuwa hoi!!
 
[/QUOTE]

 
SI YA KUSAHAU!

Katika weekend moja ya Dec 2020, napata mualiko kutoka kwa mchizi wangu sana akinitaka nifike maeneo ya MiCASA iliyopo karibu na Mabibo hostel, kwa ajili ya utambulisho wa shemeji yangu mpya.

Sikuona tabu kwa kuwa ni mwanangu sana tangu tupo O-level, hivyo ilipofika mishale ya saa 3 za usiku nikawa tayari nipo ndani ya jumba hilo la starehe.

Nikatambulishwa vizuri kwa shemeji yangu, mdau akanambia kuwa demu ni mwanachuo pale UDSM that’s why tumekuja karibu na maeneo yake kumuondoa wasiwasi. Nikasema sio mbaya, starehe zikaendelea kwa vinywaji, mziki n.k.

Kikawaida mimi sio mnywaji sana, just ni social drinker.. nikawa nakunywa ili kuweka kichwa sawa, nikaanza kutembeza LTE zangu kadhaa huku demu akiwa na vichupa vichache vya Savanna.
Mwanangu mimi ndio komba sasa, yaani alikunywa mpaka akawa tilalila!

Muda ulikuwa umeenda sana, ikabidi tufanye mazingira ya kwenda kupumzika. Bahati nzuri mdau wangu alikuja na gari, akaniomba nimpeleke mpaka kwenye dambwe la kupumzika yeye na manzi yake sababu asingeweza kuendesha na ile hali.

Tukafika mpaka kwenye lodge moja hivi maeneo ya Riverside, nikahakikisha wameingia ndani kisha nikamuaga mdau kuwa narudi mtaani kwangu. Jamaa ikabidi anizuie, akaniomba kwa ule usiku nichukue chumba pale pale nipumzike mpaka kesho then atanifikisha kitaa, maana kwa usiku lolote linaweza kutokea.

Ukawa ni ushauri mzuri kwangu, nikachukua room na wenzangu wakachukua ya kwao.

Baada ya kama nusu saa hivi, nasikia mlango ukigongwa. Nikahisi ni wahudumu wa mule ndani.
Nafungua mlango, nakutana na sura ya shemeji yangu.. [emoji15]

Akaingia ndani haraka! Ikabidi nifunge mlango nimuulize β€œImekuaje tena?”
Nilihisi huenda kuna tatizo limetokea, huenda mdau kashaanguka n.k.

Namuona demu karelax hana presha. Akanambia:
β€œMbona rafiki yako kalala tena! Yuko fo fo fo, hatujafanya chochote mpaka muda huu!”

Yaani demu alikuwa tayari kajiandaa kwa show siku ile.

Nikakaa kimya kwa muda.. wakati demu akiwa anaketi kitandani. Ikabidi nimuulize:
β€œKwahiyo tunafanyaje sasa?”

Demu hakusema kitu, akawa ananiangalia kwa jicho la wizi huku nikimuona kama anataka kuanza kupunguza nguo zake za mwilini.

Ghafla akasimama halafu akawa kama mtu aliebadili maamuzi. Akafungua mlango na kutoka nje!

Dah!! Nikaanza kujishangaa na kujiuliza, hivi namuachaje huyu kiumbe na kaingia mwenyewe machinjioni? Tamaa ilishaanza kuniingia, bila ya kujali kama ni demu wa mshkaji wangu.

Punde naona mlango ukifunguliwa tena, demu anarudi tena akiwa na handbag yake pamoja na baadhi ya nguo alizoshika mkononi.
Nikawaza tu kwamba hii ni rasmi sasa, kaja kuweka kambi kwenye room yangu.

Baada ya kutua mizigo yake akapanda kitandani.. kiukweli wakati huo sikujiuliza mara mbili..

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Baada ya show, demu akapumzika kifuani huku akipitisha vidole vyake taratibu. Ukimya ukapita kwa muda, kisha story zikaanza ili kujuana vizuri.

Usingizi ukanipitia, nakuja kushtuka asubuhi. Naangalia pembeni demu hayupo.
Nakuta ujumbe kwenye karatasi chini ya simu yangu ukisema:

β€œTELL HIM NOTHING. Call if you want 06********”

Nikaelewa kwanini alihamia na nguo zake usiku ule. Alitaka iwe rahisi kwake akiwa anaondoka asubuhi. Pia hakutaka mchizi wangu ajue chochote kuhusu kilichotokea!

Nikaenda kumgongea jamaa, akatoka, ndo ananieleza kuwa amelala usingizi mzito mno, na hajakumbuka chochote mpaka asubuhi na anaamka demu hayupo. Lakini hakuna kilichochukuliwa!
Mimi nikawa najifanya kushangaa tu, kama sijui kilichotokea.

Ngoja nikatishe story..

Ila baadae nilimcheki, tukaendelea kuwasiliana. Nikaja kurudia show nyengine siku ya Boxing Day na mpaka sasa tunaendelea na mahusiano!

KAMA UTANI HIVI..[emoji16]
 
hapa uliliwa wew kimasiara bro[emoji28][emoji28]
 
Taurati hiyo.
Ila Sasa kwenye kupiga deli ntafanyaje mkuu .
Nizivae mdomoni.
Usijaribu sio kila demu hua tunampa hio pleasure,
Demu tu ambae unajua sio kivuruge,
Huyo inaonesha ni mapepe,
Pita na maziwa, kitovu, skio,lips izo, ila uku down akusamehe tu na hawezi kukuuliza mbna hunyony*,
Piga mashine vizuri asahau mambo ya kunyonywa.
 
Ila kwa mpalange nipite Major?
πŸ˜‚
 
Ndyo maana wengine huamua tu kuwatandika pindi wakiwa o level wakiwa bado akili hazijakomaa , maana wakishafika huku juu hujifanya wanatuzalau.
Pole sana Waalim hahaha huwa mnataabika kwanzia vyuoni
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]fala sana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…