nimecheka kama chizi ila waja mna mambo aisee daaa JF idumu daima chaaaaaaaa!
 
Hukuoa huyo manzi???
 
Khaaaa huyu mtoto bila shaka alienda form five.

Alafu naamini ilikuwa game ya france vs argentina
 
Blaza Eli79 wewe enzi za u boyhood yalikupitaia wapi??
 
Ct 200 alikuwa anafundisha dr koda??
Yule mwenye kitambi flani chakipekeee.....


Ahahaha mzzeee huyo manzi alikuwa kiazi sana
 
Mods mue mnaufunga huu uzi. Siku za jumapili na muda wa kazi.

Majaribu haya
 
Huna huruma kabisaaa khaaa
 
Ndio maana siamini rafiki...dah!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahahahaha wewe ni egend
 
Mimi ilikuwa mwisho bao 6....popote ulipo Mwanaidi....Salamaleko!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…