Samaki pande zote...
 
Nilichogundua na kunifurahisha pamoja na kunivutia kweny Huu Uzi ni Watu wa Nyanda za Juu haswahaswa Mbeya, Yaan Wanawake wa Huko wameliwa sana Kimasihara, Mmewapita hadi wa Dar. Ahsanteni sana Wanawake wa Kanda hizo na mm ntakuja
[emoji23][emoji23][emoji23]saww sawa ndugu mtafiti
 
Umetisha saana mzeee.

Bro Eli79 enzi za uboyhood hukupanda treni
 
Kwenye Uzi huu nafikiri ambaye hajatoa ushuhuda ni maxence melo pekeake. Mkuu tunakusubiria kwa hamu .
Mkuuu ushuhuda wako sijauona hata... au ndio huyo unayemuita umebadili id
 
Hii inaingia akilini, haijakaa kichai chai kabisa
 
Umesema miaka kadhaa! Ilikuwa mwaka gani? Wakat hyo star park imefunguliwa mwaka Jana? Jombaa taratiibu unatuleleka malkiti
Unataka aweke details zote sahihi ili ugundue nn!!? Soma kiini Cha habari inatosha Mambo ya kutaka kila kitu kiwe unavyotaka wewe tuletee kisa chako

Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
 
Naitafutia tyming tu
Na nikiitoa hile wote waliotoa vijistori vyao watajiona mapimbi .

tatizo sina kipaji cha kusimulia.

Madame B nisaidie kusimulia
Hahahahah....makubwa haya jamani.
We ihamishe toka kule ije huku bhana.
Mbona kule umeisimulia vizuri tu mpendwa?
 

ndio maana python na linux nazipigiaga tizi daily [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kudadeki...
 
Kwanza umeponea chupu chupu
Pili umekunywa Serengeti Lite 4 tu na Ukalewa
Tatu ukaenda kulala ukiwa umelewa. Aisee!! Naomba uniazime hiyo CPU yako Jombaa.
Dokta alikuonyesha au ujanja na yy nd anampitia akakupa maneno hayo ya uongo?
 
Mkate wa gizani hata asali haioni ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…