Dah kwa Mpalange
 
Steki nini??
 
Bwana kaka usiyekula biscuit, umenifanya nicheke sana mkuu.
Hope vacation yako ilikuwa poa kuliko ulivyoitarajia.
 
Ulimwach wapi sasa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Bwana kaka usiyekula biscuit, umenifanya nicheke sana mkuu.
Hope vacation yako ilikuwa poa kuliko ulivyoitarajia.
Najiuliza hizi story ziko biased sana.
Kwani upande wa pili wao huwa Hawali tunda?
Mbona Eva alianza kula eye halafu Adam akala baadaye?
 
Hahahahah...una bahati, Watu wengine na hata mimi, nahisi nisingeenda kufungua mlango[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…