kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
K
Ni lini na wapi ulikutwa na saga kama hili
Kwa mbinde kinoma
Kula tunda kwa binde
Ni lini na wapi ulikutwa na saga kama hili
Kwa mbinde kinoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula tunda kwa binde
Mkuu ukuje umaliziebasi bana siku zikawa zinaenda. mdo mdo mazoea napewa eartime kama zote na mimi sikutaka kufanya makosa.
day amekuja gheto tukapiga story nyingi sana... nikampikia chakula kitamu sana ( mimi mpishi mzuri kidogo). amekuta gheto smart akuamini hataaa. nilikwepa sana story za mapenzi na kumtongoza. ( akili kichwani) last nikamsindikiza akasepa.
baada ya kufika kwao ndo nampigia simu namwambia leo ninepata wasaa angalau wa kukuona na kusikia vizuri sauti yako. wewe ni mzuri, mzuri balaa. unamaanisha unacho ongea. sifa kama milioin moja zote za kwake.
nikipata mda nitaendelea..... ( kuandika majanga sanaaaa jamani)
Duh ndo mwalimu wa mwanao swaumu
Ahahahha hili jina umelijuaje mkuu ahahahaha...Duh ndo mwalimu wa mwanao swaumu
Duh pole sana mkuu alikufanya niniAhahahha hili jina umelijuaje mkuu ahahahaha...
Huyo ndo.madam swaumu aiseeee alinifanya mbaya majuzi kati hapo 😄😄😄
Alipulizia dawa ya mbuu ndani alitaka aniuwe kwa kukosa pumziDuh pole sana mkuu alikufanya nini
Ila ni chomboo
Jamaa ashatimua mbioMkuu ukuje umalizie
AnazinguaJamaa ashatimua mbio