Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Nachukuia reply za matusi sana, ila siwez mchukia mtuu ndo mana akitukana huku nikikutana nae kwenye thread nyingne akiwa ametoa point nampa like za kutosha
 
Shemeji mbona unalazimisha kutambulishwa?

Kutambulishwa kwako, kwingine tayari.

Nimeshtuka kuona mnafahamiana nikasema itabidi tuwahi kutambulishana isije tukawa ndugu, bora tujue mapema.
 
Mod siku hizi hata hawaeleweki mkuu, ukishangaa shangaa tu uko ban.

Niaje lakini?

Kwema tu!

Conference finals msimu huu hazina mvuto kabisa yaani.

So najikuta sina la kufanya na leo nimeamua niende ziwani huko nikapunge upepo na huyu bi mdogo wangu Kisura.

Nazisubiri kwa hamu sana finals....
 
Kwema tu!

Conference finals msimu huu hazina mvuto kabisa yaani.

So najikuta sina la kufanya na leo nimeamua niende ziwani huko nikapunge upepo na huyu bi mdogo wangu Kisura.

Nazisubiri kwa hamu sana finals....

Yaani unakuwa umeshajua matokeo hata game haijaanza, timu pinzani zimeshakata tamaa kabisa.

Finals zitakuwa za ukweli sana, saa hizi hata kijiwe kimepoa, nadhani Finals kitachanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…