Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Nimekumbuka kitu flan, kuna jamaa anapenda sana kuzungumzia inshu za St joseph, sijui migomo sijio nn. Anamatusi kinyama, binafs nikafkiria kwa Ma great thinkers wanazi sio rhc ilbd leo niangalie profile yake kumbe ka ji register May 05 2017.
Anajiita cjui city hunter 1922,
Binafsi siwez mchukia hope atabadrika
 
Wacha waisomee namba eeeee,nawasage ramiiiiiii.CCM mbele kwa mbeleeeeee.Bado tu una chuki baada ya kuuimba wimbo kimoyomoyo au umepunguza kidogo?
Mkuu mimi huo wimbo ninao nikiona watu wamenalalamika wale wa CCM mimi naufungulia halafu naanza kuperuzi nyuzi za JF
 
Nimeshtuka habari ya wewe kufahamiana na shemeji yangu espy, nikasema kuna umuhimu wa kutambulishana isijekuwa wewe na mimi ni ndugu, ila kama ni ndugu ijulikane mapema kabla hakijaharibika kitu.
[emoji15] [emoji15] Punguza uoga ikibainika hivyo tutaishia hapo hapo. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwema tu!

Conference finals msimu huu hazina mvuto kabisa yaani.

So najikuta sina la kufanya na leo nimeamua niende ziwani huko nikapunge upepo na huyu bi mdogo wangu Kisura.

Nazisubiri kwa hamu sana finals....

Mzeya we muhaya nn
 
Mambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Mimi wakinikashifu au wakinitukana ndio nazidi kuwapenda...yaani roho inasuuzikaaa [emoji23]


Hebu naomba unitukane sasahv pls.
 
Naam, Na huo ndio UKRISTO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…