Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

pacha ni vizuri kutumia fursa vizuri zinapojitokeza[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ila pacha hebu hakikisha kwanza mbona kuna sehemu nimeona comment yake moja nikapata shaka na jinsia yake.

[emoji2] [emoji2]
 
Binafsi humu jf nishawahi kumchukia jamaa mmoja alikuwa anasuport zile sera za kina David Cameroon ..

Ila nishamsahau sasa.
 
Kwa maana hiyo nyie wote mlio comment hapa hakuna hata mmoja anaemchukia huyu dada anejiita "cocochanel"?

Acheni unafiki nyie....!!

Hata hii thread nayo imeletwa kinafiki.
Ukimchukia unajipa jakamoyo lisilo na maana yoyote! Huwezi kumpangia mtu anachokiwaza hivyo tupendane kwa ajili ya Allah
 
Mbona pm zangu hujibu kama kweli hujawai kumchukia mtu
 
Hahahahah rafiki yangu wewe, acha zako.

Nikifa usiache kuja kunizika bhana....

BTW... mzee anaendeleaje?? Naamini Mungu atamuafu atarejea salama katika hali yake... Mungu yu mwema sana.
[emoji2] [emoji2] Mzee hajambo, na Namshukuru M/Mungu wiki mbili hizi tulianza mazoezi ya Gym kuimarisha nyonga mambo yalikwenda vizuri maana mpaka sasa naweza sema amepona kwa kiasi kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…