Ndio. nimeshamuota mara nyingi sana huyu member kolelosiUlishawahi kumuota Member wa JF kwa Namna yeyote ile na Hupendi Ajue?
Na Bado unatamani Asijue!
hhahaahahah, ngoja kwanza nijenge hoja nitakujibu, tehe tehe teh teheFunguka kidogo basi, ulimuotaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hhahaahahah, ngoja kwanza nijenge hoja nitakujibu, tehe tehe teh tehe
ππππππππππππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utafute matofali ya kuchoma au ya cement lakini
Mkuu baada ya Kumuota Ulijisikiaje?Nishawahi Kumuota Mama Sabrina
Yaani INA maana hata Asprin hujawahi kumuota?Oohhh hizi Avatars zinaweza kukulaza macho sikuingine...
Binafsi sina kumbukumbu nzuri ya picha. ...labda ndio maana sioti.
Nikimuota Asprin nitakuwa nimekosea, naweza kujitahidi nikamuota monaco.Yaani INA maana hata Asprin hujawahi kumuota?
Basi utakuwa mchoyo wa Ndoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani jamani jamani...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani jamani jamani...
Ahsante kwa kujali maslahi yangu...Yaani INA maana hata Asprin hujawahi kumuota?
Basi utakuwa mchoyo wa Ndoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na CV yake, anaweza kuwa na joto kali kuliko moto.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babu mwambie aote moto tu asihangaike na wewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkague basi Babu tupate uhakika wa hilo jotoInategemea na CV yake, anaweza kuwa na joto kali kuliko moto.
Na hata ukimwota Sky Eclat ndoto yako itakuwa ya kutisha. Maana utaota anakufanyia vipimo na operesheni ya tezi dume. Najua hutaipenda hiyo ndotoMimi Huwa nawaota member wenye avator za kike....Kama we we bbade,Evelyn salt,Sakayo,Mzigua 90,Love b,sijawahi kumuota Sky eclat kwakuwa najua wazi ana MTU wake Asprin!