Ulishawahi kumuota member wa JF?

Ulishawahi kumuota member wa JF?

hhahaahahah, ngoja kwanza nijenge hoja nitakujibu, tehe tehe teh tehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Utafute matofali ya kuchoma au ya cement lakini
 
Mimi Huwa nawaota member wenye avator za kike....Kama we we bbade,Evelyn salt,Sakayo,Mzigua 90,Love b,sijawahi kumuota Sky eclat kwakuwa najua wazi ana MTU wake Asprin!
Na hata ukimwota Sky Eclat ndoto yako itakuwa ya kutisha. Maana utaota anakufanyia vipimo na operesheni ya tezi dume. Najua hutaipenda hiyo ndoto
 
Back
Top Bottom