Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

Kwa bikra hazipiti, halafu wengi wenu mnataka muwale mademu hamjawatongoza wala siyo mademu wenu, lazima mnyimwe kitumbua.
Acha kujifariji, hujui kulengesha, huna shabaha...
.
Anapita mtoto mwenye kichwa kikubwa ndo sembuse paipu yako...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Asee tutajajisifia sana lakini hakuna kitu kinanipa majuto na guilty moyoni kama kulala na mwanamke kimasihara [emoji16][emoji16] hata kama alijirahisisha mwenyewe. halafu ukute sina mpango wa kumuoa .huwa najutia sana kwa kweli.
Aisee wewe uko kama mimi kuna manzi alikuwa demu wangu for 3yrs bila kumla hata mara moja coz kipindi hicho nilikuwa masomoni mbali na mkoa alipo yeye sasa mwisho wa siku visa kwake vikawa vingi nikashindwa nikaamua kuachana nae akaridhia na alikubali tuachane maana nahisi alikuwa ana penzi jipya tayari..sasa penzi jipya nalo akaenda nalo likamlala mpaka liliponchoka wakatema eti anasema boy alikuwa mkiristu na yeye muslim so hawawezi kuoana.siku anasikia nimerudi mkoa alipo yeye na niko kwenyw ajira full mshahara anarudi eti ananipenda huwezi amini siku anaomba tukutane ndio siku nilikula mzigo tena bila kinga aiseee baada ya kuondoka nilijilaumu sana ila huwezi amini simpendi tena na huwa namchana laivu me sikupendi tena na hata nilivyokulala ni bahati mbaya tu japo mpaka leo najutia sana kulala nae siku ile.
 
Jf kila mleta uzi hajawahi Kutana au kua na dem mbaya

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hii nomaa aiseee,,unashindwa kupata dodo jamanii kwanini????unatakiwa utumie mbinu za Jovia banaaae mwamba uliwaangusha wenzio [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Juzi nimevisha demu gheto, nimelala nae mpaka majogoo na mzigo nikanyimwa, pambana Sana mpaka usiku mrefu wapiiii😁
 
Juzi nimevisha demu gheto, nimelala nae mpaka majogoo na mzigo nikanyimwa, pambana Sana mpaka usiku mrefu wapiiii😁
Ningekuwa mimi ningemtimua, siwezi kulala na demu hadi asubuhi bila kumla, au bora nimuachie geto nikale pengine.

Kuna demu nilimuita lodge usiku, akaja. Akataka kuninyima, nikapanga nichukue lodge nyingine ili alale pekeyake. Nikawa nambembeleza huku namvua nguo, nikaona hakatai kuvuliwa lakini anakataa kwa maneno( na siyo demu wangu).

Nilivyomla, siku nikamuita tena nikamwambia kuwa njoo tufanye tena, akaja kiurahisi mno, nilimla hadi akalalamika kuwa nimemkomoa, vibinti vingine vivivu mno, vinachoka mapema.
 
Aah huyu aligoma kutoa chupi, pqmbana Sana wapii, pitisha mkono mpaka kwenye papuchi lakini ngoma bila Bila.
 
Hii nomaa aiseee,,unashindwa kupata dodo jamanii kwanini????unatakiwa utumie mbinu za Jovia banaaae mwamba uliwaangusha wenzio [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jack[emoji3590][emoji3590]
 
Mungu anakupenda aliokuepusha na UTI sugu, Kaswende, Pangusa, Gonorea, Malengelenge n Hpailori pamoja na dhambi za zinaa.
 
Na sisi tuliowanyima tukafuuzwa na kunyimwa nauli tuna comments wapi[emoji1787]
 
Jf kila mleta uzi hajawahi Kutana au kua na dem mbaya

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umenikumbusha mbali kidogo mzee

Nilifahamiana na hii pisi moja kali sana (nakili kuwa ye ndio mwanamke mzuri zaidi niliewahi kuwa na mazoea nae)

Ameamia tu pale kitaa mi nikamsoma yule dem ni mkali, lakini mi uwa na amini kwenye falsafa ya slow but sure yaani sihitaji kuwa na haraka kwenye kumtongoza dem

But kwa huyu ilikuwa tofauti kwasababu presha kutoka kwa vijana wenzangu pale kitaa ilikuwa kubwa sanaaa[emoji23]

Nikaona hapa nivunje tu mwiko wangu na nakumbuka kuna mpuuzi mmoja rafiki angu alinambia "oya C ile pisi nenda tu mapema haiwezi chomoa"[emoji23]

Mi kimasomaso hiyo siku dem anaenda uelekeo wa dukani nikamuungia, ile tunarud nikamtia maelezo akachomoa, kazia pale akachomoa kwa point kwamba anamtu, na as a man i think we can all agree hakuna jibu lina kata stim kama "nna mtu"

Mi nikasikilizia kama wiki hivi nikamdaka tena, tia tena maelezo dem jibu lake ndo lile lile, tena na tena dem jibu lile lileeeeee

Surprisingly huo muda wote tulikuwa tumeshazoena na ilikuwa hawez pitisha siku hajaja ghetto kwangu[emoji23]

ilikuwa hivi, yule dem ni charming sana sijui tuseme akikuelewa au dam zenu zikiendana mana kwangu alijenga mazoea ya kiboya sana, asa baada ya kunichomolea kwa maneno mi nikawa najaribu kwa vitendo, akija ghetto tunapiga story, tunaangalia movie baadae mi naanza uchokozi like kumshika mtindi, au kiuno hapo katakubadilikia kakasilike kaondoke,,alafu kesho yake asubuhi utamwona mlangoni kwangu[emoji23]

Kakija ni hivo hivo tena jana baada ya tuvitu vitu mi naanza ujinga wangu kataamind sanaa kanaondoka kamenuna, zitapita siku mbili siku ya tatu huyo mlangoni kwangu[emoji23]

Ziliendelea hizo episodes kama miezi mitatu hivi mpaka mi nikaanza kujitafakari "hivi kwa huyu dem mi nafaidika na nini hasa" nikaona upuuzi huu nikaja na wazo la kumlia buyu

Kakija ghetto nikawa sikashobokei kama vile mwanzo nikawa nakakazia, akafanya effort nyingi sana naona baadae na ye akachoka kunishobokea akanipotezea[emoji23]

Ila mpka leo nikikaa nikamkubuka yule dem na the fact that nilishindwa kumla roho inaniumaga sanaa[emoji23]
 
Kwanini hukumla tena àkat alijileta mwenyewe

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu siku zote k haisusiwi me Kuna dem nilifukuzia Miaka 4 ndo nikaja mla na katika kpnd Hicho hakua anaomba hela Wala nn Ila anakaza tu Ila mwshowe aliliwa tu
 
Jf kila mleta uzi hajawahi Kutana au kua na dem mbaya

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app

Mpaka mtu anafikia kutaka kumla demu maana yake kimtazamo wake huyo demu ni mzuri kutokana na vipaumbele vyake!!

Mf. Napenda sana black beauty, awe na weusi wa kungaa na fizi nyeusi!! Kuna jamaa yangu ananiambia demu kama huyo hali hata bure!! Yeye na ngozi nyeupe ambazo mimi hat bure sigusi!!

So, nikisema demu alikuwa mzuri kinoma means alikuwa black, fizi nyeusi na meno meupeee ukute na dental formula ipo vyedi hapo ndipo uzuri unaanzia according to me
 
Mimi kuwa na bwana hzo ni personal matters, excuse me Mimi sikoboi Wala kukobolewa na yoyote heshimu mtazamo wangu na wallah Sina hasira yoyote please I begoo
Makasiriko
 
Nje ya mada
 
Imeshawahi kunitokea sema baadae nikajuaga ni muathirika na yeye mwenyewe akaniambiaga ,nikashukuru japo kabla nilikua naona demu anazingua kuna kipindi nilitakaga kufosi kabisa ila alichomoa, sahv yangekua mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…