Ulishawahi kuona kitu kizuri kinauzwa.., ikawaje?

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
1,311
Reaction score
1,018
Ulishawahi kupita maeneo au umekaa sehemu ukaona kitu kizuri kinauzwa ukawaza kumnunulia mtu kama zawadi ukaghairi au ukakosa mtu wa kumnunulia.

Mie imewahi nikaamua tu kuacha kwakuwa mtu mwenyewe kuja kwangu mpaka abembelezwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…