GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kuona ni kuamini!
Burudika kwa picha chache za nyumba toka sehemu mbalimbali!

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hivyo basi na wewe mkuu! Leo ni weekend!Tuwekee picha bro...... Onea huruma mb zangu nmepata kwa Tigo niwezeshe
Badili mtazamo bro, hii yako ni HUSDA wivu mbaya..... Kama hauna husda hauwezi jisikia hivyo.Dah uwa inauma .
Back in days nilikuwa nikipita mitaa ya Keko na mburahati huko sijui chang'ombe nilikuwa nakutana na mabanda ya kuku basi nikawa Nampa heshima mshua kwa kujenga mjengo wa maana hivyo nikawa navimba .
Miaka ya karibuni nilialikwa na rafiki yangu Fulani huko Mbweni kwenye kijiparty nikaenda aisee kwanza nilijisikia vibaya sana kujua kuwa mbali na umri huu bado nilikuwa najisifia kwa Mali za urithi Ila Kuna vijana rika langu Wana mijumba ya maana ,nilishinda bila Raha Ila usiku wake nikilewa sna kuondoa hasira na hapo nikaapa nitaacha hata kunywa pombe mpaka na Mimi niwe na nyumba nzuri Kama ya rafiki yangu .
Ila siku ya pili nikasahau kila kitu na maisha yanaendelea Ila nimeamua kutomtembelea mtu yeyote anayenizidi umri Wala cheo maana sipendi stress kabisa .
Hivyo nitaendelea kwenda mitaa ya wanyonge wangu wa chang'ombe ,Keko na mburahati waniogope Mimi mtoto wa masaki
Sasa weekend si ndo uweke picha bro, au wataka hela ya bia ninunulie bando afu nikae kinyonge....Acha hivyo basi na wewe mkuu! Leo ni weekend!
1. Jiondoe kwenye kundi la wanyonge hata kama kila mtu anakuona ni mnyonge!Dah uwa inauma .
Back in days nilikuwa nikipita mitaa ya Keko na mburahati huko sijui chang'ombe nilikuwa nakutana na mabanda ya kuku basi nikawa Nampa heshima mshua kwa kujenga mjengo wa maana hivyo nikawa navimba .
Miaka ya karibuni nilialikwa na rafiki yangu Fulani huko Mbweni kwenye kijiparty nikaenda aisee kwanza nilijisikia vibaya sana kujua kuwa mbali na umri huu bado nilikuwa najisifia kwa Mali za urithi Ila Kuna vijana rika langu Wana mijumba ya maana ,nilishinda bila Raha Ila usiku wake nikilewa sna kuondoa hasira na hapo nikaapa nitaacha hata kunywa pombe mpaka na Mimi niwe na nyumba nzuri Kama ya rafiki yangu .
Ila siku ya pili nikasahau kila kitu na maisha yanaendelea Ila nimeamua kutomtembelea mtu yeyote anayenizidi umri Wala cheo maana sipendi stress kabisa .
Hivyo nitaendelea kwenda mitaa ya wanyonge wangu wa chang'ombe ,Keko na mburahati waniogope Mimi mtoto wa masaki
🥺Na hata mlio na picha za kaburi wekeni tu maana ndio nyumba bora kwa nyakati zao na majira yote.
Bando la sh 10,000/= linatosha kabisa mkuu!Sasa weekend si ndo uweke picha bro, au wataka hela ya bia ninunulie bando afu nikae kinyonge....
Dada nimekusoma .Badili mtazamo bro, hii yako ni HUSDA wivu mbaya..... Kama hauna husda hauwezi jisikia hivyo.
Furahia hatua za wenzio, wapongeze ukipenda huku nawe unajipambania kuwafikia au kuwakaribia tu.