Chapati Tatu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2024
- 338
- 740
Kwenye harakati za maisha ya mahusiano kuna watu tunaona mambo ambayo huwa yanatustaajabisha sana, vile hatusimulii hadharani tu.
Niliwahi kupekua mkoba wa manz angu mmoja nikakuta pingu, niliufunga kwa kasi ya SGR.
Niliwahi kupekua mkoba wa manz angu mmoja nikakuta pingu, niliufunga kwa kasi ya SGR.