Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Alisema ni kwa ajili ya usalama wakeUliuliza wap anawinda njiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema ni kwa ajili ya usalama wakeUliuliza wap anawinda njiwa?
hahahahahahMara yangu ya kwanza na ya mwisho na kuapa Kwa mbingu na ardhi kuwa starudia nilikuta nywele kama za mavuzi hivi zimewekwa kwenye nylon zile nyeupe hasa zinatumika kubebea cabbage zilizo katwa Tyr huko sokoni
Kula vizur, fanya mazoez pumzisha mwili wako. Ukizngatia haya utaish kwa matumainNilikuta ARV'S na mda huo nimetembea peku
AaaaahKula vizur, fanya mazoez pumzisha mwili wako. Ukizngatia haya utaish kwa matumain
Kwenye harakati za maisha ya mahusiano kuna watu tunaona mambo ambayo huwa yanatustaajabisha sana, vile hatusimulii hadharani tu.
Niliwahi kupekua mkoba wa manz angu mmoja nikakuta pingu, niliufunga kwa kasi ya SGR.
Kuna hotuba ya Donald Trump huko kuhusu waafrica.
hiki ni nin we mzee?
Wala hatutakiwi kuwazaKweli hivi Trump lazima atuponde Wafrica. Hakuna tunachowaza