Chapati Tatu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2024
- 338
- 740
kwani tena? Km ni mganga wa kienyeji kanijia na tunguli ntajuaje?kuna jamaa niliona thread yake juzi kakuta mawe mawili,
mi binafsi naona sio sawa kupekuana.
Jicho?Nilikuta jicho la sisiminzi dume
Uliuliza wap anawinda njiwa?Nilikuta manati
Nilikuta mkwasa na ashua mbili 🤣katokanaZo kweny sherehe ya wamasaiKwenye harakati za maisha ya mahusiano kuna watu tunaona mambo ambayo huwa yanatustaajabisha sana, vile hatusimulii hadharani tu.
Niliwahi kupekua mkoba wa manz angu mmoja nikakuta pingu, niliufunga kwa kasi ya SGR.
Nilikuta mkwasa na ashua mbili
ulizitumia?Ndom
Ndyo, vizur tu.Vipi hamu ya tendo iliendelea?
Nin naweza kuiba kwny mkoba wake?Hizo ni dalili za wizi, simu mpekuane na mikoba pia!
watoe hofu, waambie wafunguke hapa tupate uzoefuKwa wale amba walitaka wa commenti ila wakaa kimya mungu awabariki
ningeiba hyo diaryNilikuta Diary, nikaona ngoja nisome fununu zangu. Aliandika kuwa nampenda japo kibamia.