Ulishawahi kupekua mkoba wa mpenzi wako? Ulikuta nini cha kushangaza?

Mara yangu ya kwanza na ya mwisho na kuapa Kwa mbingu na ardhi kuwa starudia nilikuta nywele kama za mavuzi hivi zimewekwa kwenye nylon zile nyeupe hasa zinatumika kubebea cabbage zilizo katwa Tyr huko sokoni
 
Nilikuta elf moja na mia tano1500/= tu
halafu alikuja hata hajaniambia nimtumie nauri nilisikitika nikamuongeze elf 50 kwenye pochi yake
 
Nilikuta condoms moja mbili ametumia nikajua demu hy ni makini MNO
 
Nilikuta vipande vya ruby na tanzanite, kumuangalia dem beki 3 tu nikajua hii ndo moment yangu "A PRINCESS PRETENDS TO BE A MAID TO FIND TRUE LOVE" na kweli bana kumbe ni bint mfalme sahv nakula shushu tuu.

😴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…