Ulishawahi kuposti picha yako halisi katika mtandao kimakosa?

Ulishawahi kuposti picha yako halisi katika mtandao kimakosa?

Mimi nawekaga avatar zangu Mara nyingi japo naficha sura na kwenye Uzi wangu wangu mmoja huwaga najipost japo nakata sura. Sina cha kuogopa kiviiile sema kuna maneno naandikaga nasema Mara boss wangu kayasoma halafu Ndo ajue ni Mimi
Kwa hiyo hili figa amazing ni lako kabisa
 
avatar yangu ya zamani niliweka mkono wangu mtu wangu wa karibu akagundua maana alishaona hiyo picha. nashangaa tu natumiwa screenshot ya profile naulizwa na wewe umeanza mambo ya JF.
 
Habari wanajamvi?
Katika mitandao mingi ya kijamii kama JF, FB, TWITER, INSTA na mingineyo mara nyingi watu hutumia majina ambayo si halisi. Hata picha pia ambzo huweka katika plofie zao huwa si wao wenyewe. Sasa je ilishawahi tokea siku ulituma picha yako halisi katika mtnadao ambao hupendi ujulikane uhalisia wako kimakosa? Nani alikushtua kuwa umetuma picha halisi? au nini kilikufanya ugundue kuwa umetuma picha halisi?
E bhana ilishawahi mtokea mdau wangu, ilikuwa FB na alikuwa amempanga mwanadada mmoja full uongo, cku hiyo mwana dada ndio akamuuliza kuna picha huku naiona ni ya nan? Mchizi kuichek ni yake, hahahah........!
 
Hebu weka tena kidogo basi
Huyo apo
gabourey_sidibe_precious.jpeg

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
E bhana ilishawahi mtokea mdau wangu, ilikuwa FB na alikuwa amempanga mwanadada mmoja full uongo, cku hiyo mwana dada ndio akamuuliza kuna picha huku naiona ni ya nan? Mchizi kuichek ni yake, hahahah........!
Nadhani palikuwa patamu kinoma, alafu ukute jirani umepiga sound za uongo
 
Back
Top Bottom