yapeleke basi
Sawa mambembe
Kwa hiyo hili figa amazing ni lako kabisaMimi nawekaga avatar zangu Mara nyingi japo naficha sura na kwenye Uzi wangu wangu mmoja huwaga najipost japo nakata sura. Sina cha kuogopa kiviiile sema kuna maneno naandikaga nasema Mara boss wangu kayasoma halafu Ndo ajue ni Mimi
Hii sio yangu mkuu.Kwa hiyo hili figa amazing ni lako kabisa
Mi mbona nimeweka pcha yangu na jina halisi
Sawa mkuuWeka basi yako tusuuze macho
Uko vyemaMbn mm saivi nimeweka avatar ya ukweli sijui nimekoseaaa
HahahahahaMwanzo kabisa najiunga na jf niliweka sura yangu. ..kuna mtu akajaga pm akaniambia sio safe masikini nilikua kashamba mweh!
E bhana ilishawahi mtokea mdau wangu, ilikuwa FB na alikuwa amempanga mwanadada mmoja full uongo, cku hiyo mwana dada ndio akamuuliza kuna picha huku naiona ni ya nan? Mchizi kuichek ni yake, hahahah........!Habari wanajamvi?
Katika mitandao mingi ya kijamii kama JF, FB, TWITER, INSTA na mingineyo mara nyingi watu hutumia majina ambayo si halisi. Hata picha pia ambzo huweka katika plofie zao huwa si wao wenyewe. Sasa je ilishawahi tokea siku ulituma picha yako halisi katika mtnadao ambao hupendi ujulikane uhalisia wako kimakosa? Nani alikushtua kuwa umetuma picha halisi? au nini kilikufanya ugundue kuwa umetuma picha halisi?
Nadhani palikuwa patamu kinoma, alafu ukute jirani umepiga sound za uongoE bhana ilishawahi mtokea mdau wangu, ilikuwa FB na alikuwa amempanga mwanadada mmoja full uongo, cku hiyo mwana dada ndio akamuuliza kuna picha huku naiona ni ya nan? Mchizi kuichek ni yake, hahahah........!
HahaHii sio yangu mkuu.
AaaahMwanzo kabisa najiunga na jf niliweka sura yangu. ..kuna mtu akajaga pm akaniambia sio safe masikini nilikua kashamba mweh!
HahaAaaah