Ndio mimiMbona hamfanani fanani
Jamaa alikuwa kamdanganya binti wa watu kinoma, daah!Nadhani palikuwa patamu kinoma, alafu ukute jirani umepiga sound za uongo
kama ni ww huyo kwenye avatar basi Mungu apewe sifa.Mimi nawekaga avatar zangu Mara nyingi japo naficha sura na kwenye Uzi wangu wangu mmoja huwaga najipost japo nakata sura. Sina cha kuogopa kiviiile sema kuna maneno naandikaga nasema Mara boss wangu kayasoma halafu Ndo ajue ni Mimi
HahahahahaahaSio yako? ... Ah!
Tunarudishana nyuma sasa.
Hiyo sio Mimi mkuukama ni ww huyo kwenye avatar basi Mungu apewe sifa.
Becky
Yani ni one mistake then you pay for it....hakuna wa kukosea mambo ya kuhatarisha namna hii
Mpwa Nilitaka kushangaa huyo ni mtu gani aliye vaa nguo zilizochakaa kumbe ni wewe....Mbn mm saivi nimeweka avatar ya ukweli sijui nimekoseaaa
Kweli bro Mshana anafaidi, nasubiria tunguri zake ziwe expired. Nimridhi mzigo [emoji851][emoji851][emoji851]Ngoja niangalie kama inafaa kwa matumiz
Endelea kidogo...Shida maji ya bomba
Mbn mm saivi nimeweka avatar ya ukweli sijui nimekoseaaa
Nadhani kashindwa kutofautisha,na wengi hawajui (nahisi) tofauti ya hizo social mediaUmekosea sana JF kuiweka kundi moja na hiyo mitandao mitatu
Usicheke.Hahahahahaaha
Basi mkeka umechanika mkuuUsicheke.
Hamna avatar niliyoi-zoom mara nyingi kama hii.