Sijawahi kuona mwanamke mbishi na asiye na shukurani kama wewe, kwanini unaleta uongo hadharani!Ndio
Sikujua kama mimi ni mwanamke, samahani nimeleta uongo wapi🫢Sijawahi kuona mwanamke mbishi na asiye na shukurani kama wewe, kwanini unaleta uongo hadharani!
Wewe ni Mrs secretarybird. Waambie kabisa wakuite hivyo.Sikujua kama mimi ni mwanamke, samahani nimeleta uongo wapi🫢
Aiseeee! Hata sasa unang'ang'ana badala ya kutubu!Sikujua kama mimi ni mwanamke, samahani nimeleta uongo wapi
Nimekosa mimi bwana nimekosa sana😓Aiseeee! Hata sasa unang'ang'ana badala ya kutubu!
Tatizo anataka mambo makubwa, avumilie tuHuyo jamaa inawezekana ulimnyima namba, ana kinyongi
Atachelewa sana😅Vijana wa 2000 😁
Ameen.Nimekosa mimi bwana nimekosa sana
Aiseeeee! Mambo yameshaanza kuanikwa magazeti bila ithibati naona!Tatizo anataka mambo makubwa, avumilie tu
Mambo yapiAiseeeee! Mambo yameshaanza kuanikwa magazeti bila ithibati naona!
Ya chini ya sahani.Mambo yapi
Ya chini ya sahani.