Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wakati Ronaldo Luiz Nazario De Lima aliposajiliwa Inter Milan mwaka 1997 alikuta jezi namba 9 inavaliwa na mshambuliaji mahiri wa Chile, Ivan Zamorano.
Hivyo kutokana na sababu za kibiashara Ronaldo akaomba apewe yeye jezi namba 9, Zamorano atafutiwe namba nyingine. Kitendo hiko kikaleta mgongano mkubwa sana kwa Zamorano. Mwishoe akakubali yaishe Zamorano akaiachia jezi namba 9.
Zamorano akaomba apewe jezi namba 18 ambayo katikati ya namba 1 na 8 akaweka alama ndogo ya jumlisha ambayo jibu lake unapata namba 9. Kwa hiyo mgogoro ukawa umeishia hapo. Kazi ikaendelea ya kipachika mabao...