Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Kuna tetesi niliskia et kuwa ukienda pima DNA lazima tu matokeo yatakuja kuwa "ww ndio baba" lengo lao likiwa ni kupunguza watoto yatima sijui haki za mama na mtoto blah blah.. Kuna ukweli hapa?
Huu ni UFWALA.
 
Kuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.

Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.

Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.

[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii

Sent using mt4 app
Hapa BrazaKaka ulipigwa na "Kitu Kizito" kichwani Asubuhi sana... Pole aisee!! Tumalizie ikawaje sasa!?
 
Mkuu hata leo tarehe 13 January kanipigia na sms kwa nini nimeblock
mtoto kabisa kafanana na mfunga buti lkn naambiwa wangu la sivyo vitu sipewi
maana nilimpa masharti tuendelee na wizi wetu tukjikinga magonjwa amekataa anadai nilee na mtoto, nina daiwa Ada watoto wangu wawili Primary E/Medium
sijui mnanishaurije, vitu vyake bomba lkn kwanza mtoto juzi kati 2021 nilirudia kidogo tujisahau nikachomoa mpaka leo, huenda ataniloga

rikiboy

Nimefanikiwa kuchomoa kabisa mawasiliano naye namshukuru Mungu
 
Mimi nilpata wasiwasi baada ya mwanamke cniliekuwa na date nae kusema ana mimba yangu...akawa anataka pesa nyingi za matumizi nilichokifanya sikumpa pesa alivyotak japo pesa nilikuwa nayo.

Mwisho alipojifungua akasema nisijisumbue kuhudumia mtoto coz sitamwona

Nikamkubalia but kws kweli Sina uhakika na mtoto kutokana na kauli za ke so nilijikalia kimya toka mwaka Jana mwezi August hadi leo..

Maisha ywnasonga, Kama mtoto ninwangu atakuja hata AKIWA mzee Sina otherwise ktk hilo
 
Habari zenu ndugu?

Poleni na mihangako ya kila siku ya Maisha, natumai mu wazima wa afya.

Kama heading inavyosema, nataka kufaham kama ulishawahi kutana na situation kama hio na ulifanyaje kukabiliana na hali kama hio? Maana wanawake siku hizi wamekua ni wenye akili nyingi na ujanja mwingi sana.

Binafsi nna huyu binti kabla hajanipa taarifa kua anaujauzito alikua ananiuliza maswali mengi sana ambayo mpka sasa yananipa utata.

Mfano:
1. Hivi fulani (jina langu) unaweza kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye ujauzito au mtoto wa mtu mwingine? Hili swali kila nkikumbuka nachoka coz yeye kaniuliza mara 2 nyakati tofauti tofauti na rafki pia aliniuliza.

2. Mfano leo nkapata ujauzito utafanyaje? Hapa nahisi alikua ananpima akili ili ajue ananiingiaje?

3. Kuna day nlimkuta yuko so sad and silent, nkamuuliza "unaumwa?" Kajibu hapana, "tatizo nn?? Mbna uko hvo?" Kajibu hamna shda, nkamtania "au umetoa mimba?" Hilo swali lilisababisha ugomvi sku hio stak hata kukumbuka.

4. Last month aliniambia akipata ujauzito bas ataondoka na kwenda somewhere ambako hakuna atakae muona, nkamuuliza kwanini akasema "basi tu"

Then two weeks ago ananambia ana ujauzito wangu, nashindwa kumuamini coz nna series ya vitu kichwani vinavyofanya roho ikatae kabisa na kuona kuwa hapa kuna game nachezewa. Hapo juu nmetaja baadhi tu.

So wakuu naombeni ushauri wenu, coz me kulea mtoto sishindwi wala siogopi, ila nnachoogopa ni kulea mtoto asie wangu "For the rest of my life"
Wanazingua sana, mmoja tulifanya Ijumaa jioni, kufika Jumapili ile siku Nchimbi anafunga hat trick akiwa polisi mechi ya polisi na Yanga, demu ananiambia nimjamzito. Nilimwambia aache ujinga na nikavunja wahusiano+mawasikiano, nilimwona tapeli.
 
Kuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.

Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.

Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.

[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii

Sent using mt4 app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kali sasa
 
Back
Top Bottom