Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Kuna tetesi niliskia et kuwa ukienda pima DNA lazima tu matokeo yatakuja kuwa "ww ndio baba" lengo lao likiwa ni kupunguza watoto yatima sijui haki za mama na mtoto blah blah.. Kuna ukweli hapa?
Huu ni UFWALA.
 
Hapa BrazaKaka ulipigwa na "Kitu Kizito" kichwani Asubuhi sana... Pole aisee!! Tumalizie ikawaje sasa!?
 
Nimefanikiwa kuchomoa kabisa mawasiliano naye namshukuru Mungu
 
Mimi nilpata wasiwasi baada ya mwanamke cniliekuwa na date nae kusema ana mimba yangu...akawa anataka pesa nyingi za matumizi nilichokifanya sikumpa pesa alivyotak japo pesa nilikuwa nayo.

Mwisho alipojifungua akasema nisijisumbue kuhudumia mtoto coz sitamwona

Nikamkubalia but kws kweli Sina uhakika na mtoto kutokana na kauli za ke so nilijikalia kimya toka mwaka Jana mwezi August hadi leo..

Maisha ywnasonga, Kama mtoto ninwangu atakuja hata AKIWA mzee Sina otherwise ktk hilo
 
Wanazingua sana, mmoja tulifanya Ijumaa jioni, kufika Jumapili ile siku Nchimbi anafunga hat trick akiwa polisi mechi ya polisi na Yanga, demu ananiambia nimjamzito. Nilimwambia aache ujinga na nikavunja wahusiano+mawasikiano, nilimwona tapeli.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kali sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…