Sio wewe mkuu tapeli wangu nilimpata baada ya miezi sita na nikalipa kisasi 3ร3๐โNashukuru sana mkuu kwa wema wako ujue Ile hela niliifanya mtaji lakini nikawa na hofu utaniloga
Tho naomba account yako nikutumie pesa kidg kama shukrani ๐
Huyo jamaa ni member wa JF ??Kuna jamaa alitukatia mimi na mdogo wangu nje ya basi ambalo lilikuwa linakaribia kuondoka engine inaunguruma kuashiria linaondoka muda wowote pale msamvu .. Baada ya kupewa hela akaingia ndani ya basi akasema hili limejaa twendeni tuangalie basi lingine. Jamaa akatusaidia kubeba mzigo tukaanza kuelekea kwenye basi alilotuambia. Aisee kulikuwa na msongamano wa mabasi jamaa alikula kona fasta fasta akapotea. Katika kumtafuta tukauona mzigo wetu ukiwa kwenye mlango wa basi moja hivi kwenda kucheck hilo basi mlango ulikuwa ila ndani hakuna mtu. Mzigo aliuacha atukimbie kiurahisi au kwa sababu lilikuwa ni furushi la viazi? ๐ ๐
Kaka ulimpataje, na ulijilipaje nichukue mbinu kakaSio wewe mkuu tapeli wangu nilimpata baada ya miezi sita na nikalipa kisasi 3ร3๐โ
๐Sio wewe mkuu tapeli wangu nilimpata baada ya miezi sita na nikalipa kisasi 3ร3๐โ
Umetapeliwa kijinga ๐นKuna jamaa alitukatia mimi na mdogo wangu nje ya basi ambalo lilikuwa linakaribia kuondoka engine inaunguruma kuashiria linaondoka muda wowote pale msamvu .. Baada ya kupewa hela akaingia ndani ya basi akasema hili limejaa twendeni tuangalie basi lingine. Jamaa akatusaidia kubeba mzigo tukaanza kuelekea kwenye basi alilotuambia. Aisee kulikuwa na msongamano wa mabasi jamaa alikula kona fasta fasta akapotea. Katika kumtafuta tukauona mzigo wetu ukiwa kwenye mlango wa basi moja hivi kwenda kucheck hilo basi mlango ulikuwa ila ndani hakuna mtu. Mzigo aliuacha atukimbie kiurahisi au kwa sababu lilikuwa ni furushi la viazi? ๐ ๐
Afu tatu za connection auHaya wale mliotapeliwa afu tatu zenu pm uwanja ni wenu kutoa shuhuda..!!