Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Atakapoona ujumbe wangu, nitafurahi atakaponitafuta japo kunitoa wasiwasi kwamba Babu hela yako nitakurudishia siku fulani..πŸ™‡πŸΏβ€β™‚
Itapendeza akifanya hivyo, itarudisha uaminifu na kujenga mazingira ya kuaminiwa wakati mwingine
 
😁😁😁 hiyo hata mimi niliiona mkuu. Yule aliyopewa buku saba na Mia nane siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…