Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

😹😹😹 Ni huruma tu ziliniponza..!!

Sasa mtu anakwambia hajala wewe unafanyaje hapo..?

Nilipoona kaona kapata mgodi nikamkwepa..!!

Hivi jamaa kweli ni tapeli ? Kuna dili flan tuliongea pm, halikwenda sawa, pia tulikuwa mikoa tofauti, mm dsm yeye dom, sasa nikaja kusafiri tukapishana..... thou sikuwahi mtumia pesa ama yeye anitumie.... vp yale mahanjumati ? Ni kweli ama anadanlodi kuwahadaa watu kumbe ana maisha ya apeche alololo... kuna mahali nimeona umesema alipata kibarua cha kulinda.. ni huzuni
 
Mshana Jr tunaomba muendelezo ulimfanyaje huyo Tapeli???
 
Dah ila mitapeli inakuwaga na hesabu ndefu sana aisee nimecheka hadi mbavu zinauma
 
Kuna member humu alianzisha thread alikua akitaka mwani nikaona mm Mzenji dili hili hapa tukaongea weee kuhusu vibali na kufungua kampuni alipokuja kuharibu ni kunidai 30k tu ety ukitaka hela na wewe lazima uliwe ndo ukawa mwisho wetu hpo nikajua tu huyu ni tapeli nikampotezea 2023 iyo ata nimemsahau jina lake ila Alikua female
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…