Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Nipo nimejaa tele kipenzi...

Mrs baada ya kujifungua akajisahau akanikalia vibaya.... Ona sasa yuko na ujauzito mwingine.

Nlikuwa nakushauri tu uwe makini na hili jamaa. Usisahau lilishawahi kutudanganya eti lilishawahi kuicharaza maiti makofi mochwari, eti kwa kuwa tu maiti ilijigeuza....

Hili pare fiksi dana wallah
 
Amina

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Unasema kama huusiki na kutendeana...
Hongereni sana ๐ŸŽŠ๐Ÿ’๐ŸŽ‰
Mola azidi kuwabariki ๐Ÿคฒ๐Ÿฝ๐Ÿคฒ๐Ÿฝ๐Ÿคฒ๐Ÿฝ

๐Ÿ˜Š๐Ÿ™๐Ÿฝ Mimi huwa sifanyi hayo nauliza kujua tu... Huo uzi nilisoma ila sikujua mengi yalitokea
 
Sasaaa mimi nimemuosha nani mkuu?๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
Kisa chako kimenichekesha kweli kweli. Hivyo ndivyo matapeli wanavyoanzia mbali. Na sijui huwa wanajuaje siku ambayo uko busy na huna muda wa kutafakari sana ndiyo wanakujia. Kuna mam mmoja alipewa fedha na mumewe aende kununua spare ya gari sehemu. Kufika njiani, sijui walimtam-time namna gani wakachukuwa zile fedha wakamwachia kichupa kilichofungwa, chenye ''almasi''. Nasikia walimwacha eneo fulani pale Ubungo, anazunguka kama napiga patrol
 
Aseeh huu Uzi juzi niliuona nkaupita tu. Leo nimetapeliwa 80,000 kizembe sana na Kila mara nyingi hii trick Huwa nainga'mua sana sijui Leo shida ilikuwa nini. sema sio kesi wamenifundisha kuwa na roho mbaya sitasaidia mtu Tena.
 
Ahsante! kwa ushuhuda, kiongozi. Elezea kilichokupata kwa faida ya wengine
 
Aseeh huu Uzi juzi niliuona nkaupita tu. Leo nimetapeliwa 80,000 kizembe sana na Kila mara nyingi hii trick Huwa nainga'mua sana sijui Leo shida ilikuwa nini. sema sio kesi wamenifundisha kuwa na roho mbaya sitasaidia mtu Tena.

Duh pole sana mzee baba...

Hao wakora ni wa hapa JF au huku uraiani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ