Connection bure haukatwi na ya kutolea..!!Afu tatu za connection au
😹😹😹 Wenyewe wataanza kutoa milio sio mimi ankalAnkal no vayolensi today 🙌🏿🤣❗
Nimechanganya madesa mkuu! 😅😅Huyo jamaa ni member wa JF ??
Nilikuwa nipo form two kipindi hichoUmetapeliwa kijinga 😹
Sasa mbona huyo chali alikua anapost mavyakula ya kutosha 😁Mwachiluwi aisee alisoma huruma yangu akaanza mizinga kama yote..!!
Akaanza oooh dada sijala nna siku tatu na sijui nafanyaje? Mara pap napata pm ya shost angu naye kapigwa mzinga wa pesa na mwachi ili akapeleke fomu ya maombi ya kazi..!!
Nikajua hapa tayari kumekuchaaa jogoo lishawika chimwaga 😹
Alivyoona nimemshtukia akaanza kunichukia na maubuyu hanipi tena..!!
Utachelewa sana kama unawaamini member wa humu kwa wanachosema..!! 😹Sasa mbona huyo chali alikua anapost mavyakula ya kutosha 😁
Ulimpataje? Hapa ndo patamu sasa...Sio wewe mkuu tapeli wangu nilimpata baada ya miezi sita na nikalipa kisasi 3×3😃❗
Hapa kwenye kisasi sasa ilikuwaje? 😄😄🙆🏻Sio wewe mkuu tapeli wangu nilimpata baada ya miezi sita na nikalipa kisasi 3×3😃❗
Uliniahidi nikikupa moyo wangu hutouumiza 😎Hahahah nimekutapeli nini mbaga😁
Hahaha,Utachelewa sana kama unawaamini member wa humu kwa wanachosema..!! 😹
Mimi tu ndo mkweli najisemea kazi yangu winga na ukija kkoo unanikuta nateseka juani..!! 😹😹
Dah ,ahsante Lamomy mkinga weweMwachiluwi aisee alisoma huruma yangu akaanza mizinga kama yote..!!
Akaanza oooh dada sijala nna siku tatu na sijui nafanyaje? Mara pap napata pm ya shost angu naye kapigwa mzinga wa pesa na mwachi ili akapeleke fomu ya maombi ya kazi..!!
Nikajua hapa tayari kumekuchaaa jogoo lishawika chimwaga 😹
Alivyoona nimemshtukia akaanza kunichukia na maubuyu hanipi tena..!!
Mbona hapo kuna bibilia?Radar za kilingeni zilimnasaView attachment 3680069
Unashangaa sambusa?Hahaha,
Dogo lilikua linapost mara linakangaa chapati,sambusa,mandazi mara linapika pilau😁
Kumbe njaa kali tu
Swali zuri sana, maana hatutaki shuhuda kutoka sehemu zingine.Huyo jamaa ni member wa JF ??