Kmmke πUnashangaa sambusa?
Wenzio tulikuwa tunapostiwa sehemu kali za down town za kulia bata kijana yupo huko..!!
Na mipira ya kwendea kama yote..!!
Deep down apeche alolo, sasa hivi ndo kapata sehemu analinda baada ya kukimbia mgambo hapo ruvu..!!
Sindio banaπSwali zuri sana, maana hatutaki shuhuda kutoka sehemu zingine.
Mtu unakwenda kwenye viwanja vya Tanganyika Pekazi kwenye mkesha wa Mwamposa, unaibiwa halafu unakuja kutoa ushuhuda humu unakuwa umekiuka kichwa cha uzi.
Hahahaaaaa chapu na haraka akajaa kwenye mfumo
Mwachi huyu hyu!π²Mwachiluwi aisee alisoma huruma yangu akaanza mizinga kama yote..!!
Akaanza oooh dada sijala nna siku tatu na sijui nafanyaje? Mara pap napata pm ya shost angu naye kapigwa mzinga wa pesa na mwachi ili akapeleke fomu ya maombi ya kazi..!!
Nikajua hapa tayari kumekuchaaa jogoo lishawika chimwaga πΉ
Alivyoona nimemshtukia akaanza kunichukia na maubuyu hanipi tena..!!
Satellite za asili ina zoom zaidi ya x ray ππRadar za kilingeni zilimnasaView attachment 3680069
safi sana naendelea kujifunza brotherWote tunamuabudu Mungu mmoja.. Hata shetani kabla ya kuasi alikuwa malaika mkuu
Hahaha πKikosi kazi cha kilingeniView attachment 3680075
Dah!Unashangaa sambusa?
Wenzio tulikuwa tunapostiwa sehemu kali za down town za kulia bata kijana yupo huko..!!
Na mipira ya kwendea kama yote..!!
Deep down apeche alolo, sasa hivi ndo kapata sehemu analinda baada ya kukimbia mgambo hapo ruvu..!!
Moyo gani huo? Hebu utume kwenye busπ€Έπ½ββπUliniahidi nikikupa moyo wangu hutouumiza π
Ila ulichonifanyia π
Ko mechi ikawa GG πKila mla vya wenzie na vyake pia huliwaπβ
Baada ya kuokoka wenzio wameenda wapiKikosi kazi cha kilingeniView attachment 3680075
πππKuna jamaa alitukatia mimi na mdogo wangu nje ya basi ambalo lilikuwa linakaribia kuondoka engine inaunguruma kuashiria linaondoka muda wowote pale msamvu .. Baada ya kupewa hela akaingia ndani ya basi akasema hili limejaa twendeni tuangalie basi lingine. Jamaa akatusaidia kubeba mzigo tukaanza kuelekea kwenye basi alilotuambia. Aisee kulikuwa na msongamano wa mabasi jamaa alikula kona fasta fasta akapotea. Katika kumtafuta tukauona mzigo wetu ukiwa kwenye mlango wa basi moja hivi kwenda kucheck hilo basi mlango ulikuwa wazi ila ndani hakuna mtu. Mzigo aliuacha atukimbie kiurahisi au kwa sababu lilikuwa ni furushi la viazi? π π
πππ hapa ndio wako wengi, alooohHaya wale mliotapeliwa afu tatu zenu pm uwanja ni wenu kutoa shuhuda..!!
πππ uduguu, vibaya hivyo, kwanini lakiniii?Mwachiluwi aisee alisoma huruma yangu akaanza mizinga kama yote..!!
Akaanza oooh dada sijala nna siku tatu na sijui nafanyaje? Mara pap napata pm ya shost angu naye kapigwa mzinga wa pesa na mwachi ili akapeleke fomu ya maombi ya kazi..!!
Nikajua hapa tayari kumekuchaaa jogoo lishawika chimwaga πΉ
Alivyoona nimemshtukia akaanza kunichukia na maubuyu hanipi tena..!!
ππππ khaaah.Utachelewa sana kama unawaamini member wa humu kwa wanachosema..!! πΉ
Mimi tu ndo mkweli najisemea kazi yangu winga na ukija kkoo unanikuta nateseka juani..!! πΉπΉ
Uduguu wee kifua huna, πππUnashangaa sambusa?