LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Ahahahah... humu ndani kiukweli ukikaa kiboya hakyanani wanapita na wewe.Utachelewa sana kama unawaamini member wa humu kwa wanachosema..!! πΉ
Mimi tu ndo mkweli najisemea kazi yangu winga na ukija kkoo unanikuta nateseka juani..!! πΉπΉ
Ahahahaha..bora mimi najisemeaga mafuga nguruwe ππ.Hahaha,
Dogo lilikua linapost mara linakangaa chapati,sambusa,mandazi mara linapika pilauπ
Kumbe njaa kali tu
Mkuu ni ya kweli haya au utani tu??Unashangaa sambusa?
Wenzio tulikuwa tunapostiwa sehemu kali za down town za kulia bata kijana yupo huko..!!
Na mipira ya kwendea kama yote..!!
Deep down apeche alolo, sasa hivi ndo kapata sehemu analinda baada ya kukimbia mgambo hapo ruvu..!!
Kiwiπ€£Mara ya mwisho kutapeliwa/kuibiwa ilikuwa mwaka 2000 Ubungo Stand ,walinipiga KANYABOYA ,nilinunua Kiwi kumbe ndani waliweka LAMI.
kudhulumiwa mara ya mwisho ilikuwa April -2024 ,nilidhulumiwa laki na elfu 10 ,kuna mtu aliniomba kisha atanirudishia mwisho wa mwezi ,sasa ni miaka miwili na nusu hajarudisha na kila siku naona naye wala hakumbushii kitu na mimi sijawahi kumuuliza ,najua kashajipunguza mwenyewe kwasababu hata akipata dharura ambayo inahitaji elfu 10 hawezi kuniomba...Na ndipo aliponifunza mambo ya kumkopesha mtu.
Nauli haikuniuma kama nilivyo ongeza naya kutolea alloo...π€₯Naamini hata nauli na ya kutolea juu uliwahi kutumaπ
Hahaha hatari ,lilikuwa kopo lile kubwa ,alifunua akanionyesha ipo fresh imejaa safi sana ambayo ilikuwa halisi ,nilivyotoa pesa sikumbuki sh ngapi lakini kama kuanzia jero hadi buku ,nilivyompa akapiga chenji kota akanipa Mkebe wenye Lami ,ndani ya sekunde kufunua nikaona siyo ile ya mwanzo nataka nimfuate akatoka nduki halafu nilikuwa na begi nikasema poa mwache aende.Kiwiπ€£
Mtag tumjue tapeliNaruhusiwa kumtagππ
Hata vochaHata nauli!?π
Ilikuwaje?Sio wewe mkuu tapeli wangu nilimpata baada ya miezi sita na nikalipa kisasi 3Γ3πβ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ jamani MwachiMwachiluwi aisee alisoma huruma yangu akaanza mizinga kama yote..!!
Akaanza oooh dada sijala nna siku tatu na sijui nafanyaje? Mara pap napata pm ya shost angu naye kapigwa mzinga wa pesa na mwachi ili akapeleke fomu ya maombi ya kazi..!!
Nikajua hapa tayari kumekuchaaa jogoo lishawika chimwaga πΉ
Alivyoona nimemshtukia akaanza kunichukia na maubuyu hanipi tena..!!
πΉπΉπΉπΉ huyu si mpishi wa JF?Mwachiluwi aisee alisoma huruma yangu akaanza mizinga kama yote..!!
Akaanza oooh dada sijala nna siku tatu na sijui nafanyaje? Mara pap napata pm ya shost angu naye kapigwa mzinga wa pesa na mwachi ili akapeleke fomu ya maombi ya kazi..!!
Nikajua hapa tayari kumekuchaaa jogoo lishawika chimwaga πΉ
Alivyoona nimemshtukia akaanza kunichukia na maubuyu hanipi tena..!!
kuna tofauti kati ya kuibiwa na kutapeliwakutapeliwa ni neno linalotumika kupunguza makali ya kusema Kuibiwa.
πππIlikuwa miezi miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025,ndugu mwana JF a.k.a anajiita "mtib...." alipost atatoa huduma ya kuuza vitabu alivyoviandika,nilimpa pesa anitumie hiko kitabu.Dah.! Chenga zikawa nyingi akagoma kurefund, kila niangaliapo post zake zinatonesha kidonda cha elfu 15 yangu.
najua kashajipunguza mwenyewe kwasababu hata akipata dharura ambayo inahitaji elfu 10 hawezi kuniombaπππMara ya mwisho kutapeliwa/kuibiwa ilikuwa mwaka 2000 Ubungo Stand ,walinipiga KANYABOYA ,nilinunua Kiwi kumbe ndani waliweka LAMI.
kudhulumiwa mara ya mwisho ilikuwa April -2024 ,nilidhulumiwa laki na elfu 10 ,kuna mtu aliniomba kisha atanirudishia mwisho wa mwezi ,sasa ni miaka miwili na nusu hajarudisha na kila siku naona naye wala hakumbushii kitu na mimi sijawahi kumuuliza ,najua kashajipunguza mwenyewe kwasababu hata akipata dharura ambayo inahitaji elfu 10 hawezi kuniomba...Na ndipo aliponifunza mambo ya kumkopesha mtu.
πππππHahaha hatari ,lilikuwa kopo lile kubwa ,alifunua akanionyesha ipo fresh imejaa safi sana ambayo ilikuwa halisi ,nilivyotoa pesa sikumbuki sh ngapi lakini kama kuanzia jero hadi buku ,nilivyompa akapiga chenji kota akanipa Mkebe wenye Lami ,ndani ya sekunde kufunua nikaona siyo ile ya mwanzo nataka nimfuate akatoka nduki halafu nilikuwa na begi nikasema poa mwache aende.
View attachment 3680321