Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Msukuma wa wapi wewe? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hahahaha
 
Ewe winga unapigwaje vizinga pamoja na kuishi kariakoo miaka yote hiyo?
 
Pole mkuu..Unge fanya akojoe hata "Dagaa kwa heshima ya Kilinge
 
Aise. Pole sana. Wakati mwingine akili huwa inakuwa kama imejam ndio unapigwa. Mimi mtandaoni, sijawahi tapeliwa.

Sema tu kuna mtu alipost anatafuta Mme, nikaanza chat nae baadae nikaja stuka huyu ni mwanaume🀣🀣 Nilimuona hamnazo kweli yule jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…